mtaftaukweli1
Member
- Sep 21, 2012
- 27
- 1
watanzania ivi ni kweli wanasifa hizi? ni wavivu, ila wanataka utajiri, hawtaki kujishughulisha, wavivu wa kufikiri hadi wanadanganywa katika mikataba. hawapendi kusoma lakini kufaulu wanataka, mda wa kufanya kazi hawautumii ipasavyo sasa kwa namna hii watakuwa na maisha bora? na uchumi kukua? nisaidieni