Watanzania wanapenda "molestation"

Na kama kuna kasiasa kalitumika kumfunga Babu Seya basi iwekwe wazi wasije wakaibuka wengine wakalawiti watoto tena wakitegemea wataachiwa kwa msamaha wa Raisi ajaye.
Sidhani kama wanaweza kwenda mbali kiasi unachopendekeza maana Itakuwa ni ushahidi mzuri kuwa madaraka ya urais yanatumiwa vibaya.
Hii huruma kwa wanaoonewa hivi kweli haiku click kwenye ubongo wa Magufuli pale nyumba za watanzania waliojenga pembezoni mwa barabara ya morogoro zilipokuwa zikivunjwa?

Usikute hana huruma ila ile roho ya "kamkomoeni" ndiyo ilikuwa inatrend kichwani!

Au pia anashangilia hayo mambo aliyoyayasamehe kishilawadu shilawadu!
 
Wewe uwezo wako wa ku scrutinize ni mdogo sanaaaaaa, kama ni msomi unaweza kupitia kesi yao na kutafakari ni jinsi gani ilivyokuwa ngumu kutungwa. Na je ni kwa nini hasa? yaani uongozi? ukubwa gani? kugombea nini? Mahakama majaji, walimu, wazazi nao washirikishwe kwenye kutunga kesi hiyo? hata kidogooooo, wewe ni mpuuzi sana wa kufikiri kama wengine wenye mawazo kama hayo!!!!!!!!
Nisamehe jakaya M.K!!?? Wameachiwa Sasa Na bulldozer wee endelea Na mipasho
 
Kapimwe. Na kama huna minyoo. Hmu JF natoka
Ndio hivyo sasa!
Rais wako anamahaba ya kufa mtu kwa walawiti.
Hahahahahhahahah!!!
Nyie ndio mmelipuka kwa mayowe ya shangwe sasa sijui mnashangilia nini.
 
Wameisherehekea vizuri sana siku ya uhuru wa kujiamulia mambo including molestation.

Kiongozi mkuu amewasamehe huku akijivunia na kujipiga kifua kutumia vifungu vya katiba!
Of all criminal mlawiti aliyethibitika!

Yaani watanzania mna maana mlawiti miongoni mwa hawa hawa anaowasaka mkuu wa mkoa wa dar?

Kwani wezi wa kuku wameaamehewa wooote!
Mbona hatukuambiwa!

Kah jamani walawiti wa watoto! (proven beyond reasonable doubt) wanaachiwa huru kabisaaa! Sio hata kupunguziwa adhabu!

Hivi hakuna vifungu vya katiba vinavyompa mamlaka magufuli kuwapa tu hata fidia waliovunjiwa vibanda vyao pembezoni mwa barabara ya morogoro? Kwakweli vingeshangiliwa kupita maelezo.

Uatawi wa jamii unaovurugwa na kukosekana makazi kwa mamia kama sio maelfu ya familia zilizobomolewa nyumba zao kweli haikugusa mshipa wa huruma ya magufuli isipokuwa walawiti! Na watanzania wamelipuka kwa shangwe!

Ulawiti umezijaza nyoyo za watanzania kupita maelezo.

Huruma za aina kwa wahanga wa tetemeko zingeongeza mshikamano wa kitaifa, tena mshikamano chanya.

Sawa bwana ngoja nijite kwenye kupongeza.

Nakupongeza magufuli kwa kutufelisha.

Nakupongeza magufuli kwa kumzidi chifu mangungo.

======Msishangae ikipelekwa kusikojulikana.

Au kuunganishwa na thread nyingine hata kama hazifanani========
Eti angalau kuounguziwa adhabu??? Hivi hapo hawajapunguziwa adhabu?? Si wameshatumikia miaka 13 yote jela?? Kuna mijitu hata huruma ya kimungu tuliyoumbwa nayo wanadamu haina! Sijui umeumbwa na shetani wewe!
 
Eti angalau kuounguziwa adhabu??? Hivi hapo hawajapunguziwa adhabu?? Si wameshatumikia miaka 13 yote jela?? Kuna mijitu hata huruma ya kimungu tuliyoumbwa nayo wanadamu haina! Sijui umeumbwa na shetani wewe!
Thibitisheni huruma yenu kwa wahanga wa bomoabomoa ya morogoro road.
Otherwise mnapenda harufu ya kinyesi na sii vinginevyo.
 
Back
Top Bottom