K kitimtim JF-Expert Member Nov 24, 2010 1,600 1,922 Jun 10, 2011 #21 mzee ameshiba sasa kasahau wenye njaa, anazidi jengelea ukuta, hata kile kidaraja kidogo anakibomoa, eti wa tz bodaboda wao BMW, MIBENZI, MI V8 ila sio vizuri au ka vipi Azimio la arusha lirudi tu
mzee ameshiba sasa kasahau wenye njaa, anazidi jengelea ukuta, hata kile kidaraja kidogo anakibomoa, eti wa tz bodaboda wao BMW, MIBENZI, MI V8 ila sio vizuri au ka vipi Azimio la arusha lirudi tu
Saint Ivuga JF-Expert Member Aug 21, 2008 54,363 58,386 Jun 10, 2011 #22 wanafunzi wanaopata mimba ni kiherehere chao
FiQ JF-Expert Member Feb 11, 2011 477 76 Jun 10, 2011 #23 dah inasikitisha jamani, jamaa sasa pumba too much duh