Watanzania wananyanyaswa India? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wananyanyaswa India?

Discussion in 'International Forum' started by Dingswayo, Nov 7, 2009.

 1. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  poleni wabongo, mysore na Delhi wapi na wapi ndugu zangu! si unajua zile ofisi zina wenyewe? sasa inabidi kwenda nao taratibu kama watakavyo lakini ukitaka haraka tena duh habari ndo inakuwa kama hivyo! yeah kuhusu India habari za ubaguzi ni noma; mara utasikia 'apes" yaani sokwe, monkey, baboon etc dah we acha tu! Thank God siku hizi Obama ni Rais basi ukikatiza mitaa fulani fulani utasikia "Obama". kwakweli kuishi India? Not again!! Inataka uwe na roho ya paka! Ngumi jiwe! halafu wahindi wanapenda sana ugomvi wa kuingilia. hata kama uko mwafrika mmoja basi unawezapigwa na wahindi kama 10-15 sana sana kwenye vyuo! pia ngumi za one on one hawana kitu kabisa! wanatumia sana silaha kama mawe, fimbo, nondo etc! ushauri wa bure kwa wabongo wenzetu nyie vumilieni tu, someni na kisha mrudi nyumbani! lakini tusisahau wabongo tunapenda raha na starehe!! sasa muwe mnarudi majumbani kwenu mapema hahahaha! Punguzeni "bashi"
   
 3. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  naanza kwa kutoa pole kwa yalio wakuta ndugu zangu mlioko Mysore poleni sana ila niongezee tu kwa kusema watanzania mlioko India na nchi zingine zote mkumbuke huko sio kwenu na inabidi kupunguza pombe na sherehe zinazoambatana na miziki mizito...vile vile tuwe wa wavumilivu na mapolisi sio tunachukua uamuzi wa haraka tu wa kuwapiga.
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hivi unadhani polisi wa India ni wazima....kutwa kucha wanakula "PAN" (kuber) kwani wakishaona "kaluuu bhai" (black people, negro) wanajali au kusikiliza. kwanza polisi wa India wanatembea na marungu!! sasa lazima mtaishia kupigana tu! ila tu wabongo kuweni makini na 'mitungi' na bashi za nguvu...tena karibu na 'temple' zao! ohoooo!
   
Loading...