jamii01 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 1,988 Reaction score 1,437 Feb 12, 2012 #1 Napenda kuuliza hama tujadiliane kwa nini watanzania wanakufa sana na mapema hadi inafikia hataua unaanza kuogopa sasa itafikia kuona mtu anafikisha umri wa miaka 70's inakuwa inshu sana.kwa nini Tanzania??
Napenda kuuliza hama tujadiliane kwa nini watanzania wanakufa sana na mapema hadi inafikia hataua unaanza kuogopa sasa itafikia kuona mtu anafikisha umri wa miaka 70's inakuwa inshu sana.kwa nini Tanzania??