Mkuu Bubu nakusoma vizuri. Lakini naweza kukusahihisha kidogo kuwa jamaa aliyehusika na Radar hakupotea, zilikuwa ni deliberate efforts za watu, walijua wanafanya nini.
Hakuna atakayefukuzwa kazi na wala hakuna atakaye adhibiwa kwa hii issue. Hiyo miezi sita aliyotoa JK ni kuwapa jamaa six months head start.
Wanaoadhibiwa ni kama kina kubenea, Tega na wengine wadgowadogo watakaofuata, the real ones will not be touched.
My worry ni kuwa hata hiyo 2010 sidhani kama kuna lolote kubwa litafanyika, mimi ninachoana 2010 itakuwa ndio real test ya kama watanzania tuna akili au hatuna akili. Sasa hivi mambo mengi yako wazi, kwa mtu mwenye akili timamu withall what happened in, 2010 sio ya CCM kushinda. Nina wasiwasi we will prove Mkapa right, kuwa sisi ni wavivu wa kufikiri!