Jiwe_Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 419
- 814
Hata wana ccm wanalia kimyakimya sasa hv. TBC wanakwambia unaweza kufuatilia zoezi la uapishwaji kupitia INSTAGRAM, FACEBOOK, TWITTER na YOUTUBE.Mbona Wabongo wengi wanalamba makalio ya CCM wakati CCM inawadharau hivi?
Hiyo habari imejaaa mitandaoniUnaweza ukaweka source ya hii habari kama hautajali?
Ndio imezuiwa kwasababu ya usalama ila nanyi mujiandae 2020 Kwa viongozi wenu wanavyopenda kuiga lazima wataiga tu .Uchunguzi wangu wa kina umebaini kuwa Wabongo wamefungiwa internet. Yaani hata Whatsapp na JF na twitter na facebook hawawezi kuingia bila kutumia VPN. Welcome to North Korea republic of Tanzania. Mlishangilia wakati upinzani ulifutiliwa mbali. Kuleni ujeuri wenu.
Hapa Kenya internet haijawahi kuzimwa. Mwiba wa kujidunga hauambiwi pole.
Mkuu sisi watz hatunaga tabu kabisa😀😀😀. Tumeshamwachia Mungu atawashughulikia waliohjumu uchaguzi🤣🤣🤣🤣Eti na bado kuna watz ambao wana matumaini kwamba hatimaye watafunguliwa internet na hali ya 'full access' bila 'restrictions' itarejea kama hapo awali.Chini ya dikteta ambaye ana bunge, mahakama, vitengo vya usalama na mihimili yote mfukoni mwake. Hahaha!Hadi nawaonea huruma hawa majirani. Wake up and read the signs of the times you senseless sheep!
Aisee, yaani hadi na nyie mataga pia mmezimiwa internet? Baada ya mayai yote ambayo mlitagishwa?Those using Commercial VPNs are stupid..You are handing over your phone/computer's private data to hackers, pedophiles and extortionists all for hiding behind a keyboard to hurl insults to H.E Magufuli JP..
Stop Being stupid, Do this
1. Create a Vps on GCP/Azure/AWS
2. Install Debian or Centos
3. Download and configure either -
a)StrongSwan - don't use a passphrase instead create and sign your own Root Certificate (At least 4096 bit cert)
b) install Debian or Centos, Install and configure SoftEther VPN on your cloud VPS of choice. The advantage of this is that you can tunnel through DNS or ICMP bypassing TCP based firewall rules
To avoid all these hustles, stop being a cry baby come out in the open and insult H.E Magufuli openly without being a pussy. Die like a man
Tony ni kweli kuna waliouliwa.na tunaogopa andamana sababu ya kuhofia uhai wetu.Hamkupigwa risasi kwa sababu nyie ni waoga. Hakuna mtu aliyejitokeza kuandamana. Tundu Lissu aliitisha maandamano lakini kila mtu aliogopa. Halafu sio kweli kusema kwamba hakuna mtu aliyepigwa risasi na polisi. Kuna watu wamepigwa risasi hapo TZ na video zipo mitandaoni.
Polisi wenu walikuwa tayari kuwamiminia marisasi ila kwa uwoga wenu mkakataa kuandamana.
Internet haijazuiliwa, ni some apps zinazotumia internet. When are you Kenyans stop with false propaganda abt TzWacha kutetea maovu haya. Serikali yako haina haki ya kuwafungia internet. Mjifunze kupigania haki yenu, sio kukubali kila kitu.
Internet haijafungwa mazee, ni some apps, ingia Google uone kama haifunguki.Hahaha... Watanzania ni watu wa ajabu Sana
Tanzania inadaiwa billioni Mia moja kwa kuzima mtandao wa internet,Tcra imezitia kampuni Kama Google hasara kubwa Sana kwa muda waliozima Internet..
Indeleeni Ku freez,na nyinyi mtafiziwa
Noma sana...Nyie si ndiyo wakati kura zinaonyeshwa live Odinga anashinda mlizimiwa umeme nchi nzima,ulivyokuja kuwaka zikaonyesha Kibaki anashinda Wajaluo na Wakelenjin wakaanza kutembeza mapanga.
Internet ipo, you just can't access and load pictures kwenye some apps zinazotumia internet like ig, whatsap, fb, Twitter.Eti na bado kuna watz ambao wana matumaini kwamba hatimaye watafunguliwa internet na hali ya 'full access' bila 'restrictions' itarejea kama hapo awali.Chini ya dikteta ambaye ana bunge, mahakama, vitengo vya usalama na mihimili yote mfukoni mwake. Hahaha!Hadi nawaonea huruma hawa majirani. Wake up and read the signs of the times you senseless sheep!
Apps gani?ukifungia some Apps maana yake unaikosesha biashara GoogleInternet haijafungwa mazee, ni some apps, ingia Google uone kama haifunguki.
Nyie ni marobot kweli. Eti bado mnawalaumu upinzani? Ambao tayari mmefanikiwa kuufuta?Internet ipo, you just can't access and load pictures kwenye some apps zinazotumia internet like ig, whatsap, fb, Twitter.
But Google, quora etc zote zinafanya kazi, that's a lie spread by oppositions since most of their fans ni watu wa ig, Twitter, fb, snap then sleep. I know you love anything negative abt Tz, but that's a lie.
Hiyo Turbo VPN iko fasta kama sungura
Boya na kuelezea kuhusu uzushi wa internet kufungwa unaleta masuala ya upinzani kufutwa, inaonyesha imekuuma sana upinzani Tz kufutwa.Nyie ni marobot kweli. Eti bado mnawalaumu upinzani? Ambao tayari mmefanikiwa kuufuta?