Watanzania wamefungiwa Internet sababu ya Uchaguzi

Sasa wewe ambaye hata vyombo vya habari vimedhibitiwa unajuwa idadi ya watanzania wangapi watakuwa wamepigwa risasi na kufa. Unatakiwa kusema hayo maneno ukiwa na vyombo huru vya habari.siyo hivi vya kusifu na mapambio.
 
Haijawahi kuzimwa huko sababu hiyo technology ya kufanya hivyo hamna, Nigeria wenyewe hawana mtakua ninyi?

Ni Tanzania tu Africa ina technology ya kufreeze a specific app
Sisi hawa hawa hata stiki za kutolea uchafu kwenye meno zinatoka China ya kwel haya uanayoongea , acha kujisifia kwa vitu vya kijinga
 
Ivi Zanzibar sio sehemu ya Tanzania eeh , acha kujitoa ufaham
 
Udaku tu huo. Na ndiyo uliosababisha kufungwa mitandao fulani fulani ya internet siyo internet yote. Official internet websites zinafanyakazi kama kawaida.
Utaoana ni udaku kwa sababu hakuna hata mmoja anayekuhusu aliyepoteza maisha
 

Sioni tofauti la kufungiwa internet na hili. nadhani Vodacom imejifunza kutoka Safaricom
 
Siku hizi umeshajua kiswahili fasaha basi imekuwa taabu.🤣
 
Sema hauko serious mkuu, kwamba hujaona nini...?
 

Kunao ambao huwa nachat nao kwenye Whatsapp, wanapitia cha moto, yaani siku inaisha mtu hapaikani online kabisa, japo kuna wajanja wa VPN ila huwa haipo shwari kwenye kila tovuti.
 
Tanzania hakuna upinzani kuna upingaji. CCM OYEE. Mtasema sana watz twaendelea kuchapa kazi. Tuna amani mionyoni mwetu

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha... Watanzania ni watu wa ajabu Sana

Tanzania inadaiwa billioni Mia moja kwa kuzima mtandao wa internet,Tcra imezitia kampuni Kama Google hasara kubwa Sana kwa muda waliozima Internet..

Indeleeni Ku freez,na nyinyi mtafiziwa
Unaweza ukaweka source ya hii habari kama hautajali?
 
Hahaha... Watanzania ni watu wa ajabu Sana

Tanzania inadaiwa billioni Mia moja kwa kuzima mtandao wa internet,Tcra imezitia kampuni Kama Google hasara kubwa Sana kwa muda waliozima Internet..

Indeleeni Ku freez,na nyinyi mtafiziwa
Unaweza ukaweka source ya hii habari kama hautajali?
 
Hivi wale waliolipia leseni ya channel zao za youtube wapo kwenye hali gani? Maana nao wanategemea waangaliaji katika chaneli zao ndio walipwe.
 
Nacheka kama mazuri vile...Vipi jamaa akiamua kushikilia kauli yake ya malaika kuja kuzima mitandao ya kijamii! Acha aapishwe leo tuone kitakachofuata.
Mbona Wabongo wengi wanalamba makalio ya CCM wakati CCM inawadharau hivi?
 
Mbona Wabongo wengi wanalamba makalio ya CCM wakati CCM inawadharau hivi?
Hujui kauli zetu? utamsikia mtu anakwambia kwani Lissu akishinda atakuletea ugali nyumbani kwako? au Magufuli akishinda atakuja kukupa hela kwako?

Mwanasiasa hatokupa unga wa familia yako ila ataamua ume milo mingapi kwa siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…