Watanzania Wakichoka "mambo ya vyama" watapewa nini?

Watanzania Wakichoka "mambo ya vyama" watapewa nini?

Seif al Islam

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
2,156
Reaction score
640
Kuna kauli imetolewa na mwanasiasa mmoja kuwa watanzania wamechoka haya "mambo ya vyama" na wanataka "maendeleo".
Japo hajatuambia watanzania waliyasemea hayo wapi au kupitia utafiti upi lakini sina shaka sana juu ya nini hasa watanzania watapewa baada ya kuwa wamechoka "mambo ya vyama".
Ni ufanye, usultan, udikteta au kitu gani?
 
Back
Top Bottom