Incredible
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,031
- 1,604
Watanzania waishio Marekani siyo wote lakini baadhi yao yapo busy na kufungua matawi ya CCM pamoja na kumsifia Mwigulu Nchemba na wengineo wakati Rasimu ya Samweli Sitta inasema hivi kuhusu mtanzania diaspora:
1. Haruhusiwi kumiliki shamba Tanzania
2. Asiwe na makazi Tanzania
3. Atapewa kibali maalumu cha kuingia nchini lakini kina expire after seven months
4. Asigombee uongozi wa siasa Tanzania
CCM HOYEE
mjomba kama ni kweli mbona watakuwa wameua kabisa yaani hawa watu ni wabinafsi wakubwa sasa kuna haja ya diaspora kwenda kufungua kesi ya kikatiba kwa misingi ya ubaguzi mkubwa kwa maana hata wageni sheria haijawabana kama diaspora.
wageni wanaweza kuwa watanzania na pia kuwa na uraia wa nchi yao
wageni wanaweza kumiliki ardhi kama ile ya mashamba ya kapunga yanayomilikiwa kama sikosei na wacanada
sasa inawezekanaje watanzania waishio nje wawe treated kama criminals.
Hii ndio Tz zaidi ya Uijuavyo lakini pamoja na Ujanja wao wote , Zanzibar sasa ni Wakoloni wa Tanganyika wananyonya Tokea Utotoni hadi sasa Uzeeni wamezidisha Kasi, huu muundo wa katiba ya kijanja janja ni mbinu ya Wazenji kujisafishia njia ya kuendelea kuzifaidi pesa za Tanganyika kwa njia mbali mbali ikiwemo ya kuwa na wabunge wengi sana ikibidi hata wafike 5000 huku wakilazimisha wabunge wao wateuliwe Kuwa mawaziri kwenye wizara zote za muungano, Rais wa Zenji sasa anaandaa sarafu yake na Gavana wao kwa pesa hii hii ya Tanganyika ! Sasa jiulize Kama hapa Zenji penyewe pametushinda iweje huo Uraia Pacha? ikumbukwe Kuwa kuna watanzania wengi sana wapo nje na wanatamani kuludi kuja kuwekeza hapa Nchini lakini wamekwazwa na issue ya U-Raia Pacha.Watanzania waishio Marekani siyo wote lakini baadhi yao yapo busy na kufungua matawi ya CCM pamoja na kumsifia Mwigulu Nchemba na wengineo wakati Rasimu ya Samweli Sitta inasema hivi kuhusu mtanzania diaspora:
1. Haruhusiwi kumiliki shamba Tanzania
2. Asiwe na makazi Tanzania
3. Atapewa kibali maalumu cha kuingia nchini lakini kina expire after seven months
4. Asigombee uongozi wa siasa Tanzania
CCM HOYEE
He is a member of Parliaments!