Bro wapo kama watatu hao ,na ndani yake pia yupo mkiristo,samahani ikiwa huelewi kijapani.Dini ya CUF ni siasa
habari zimetufikia hapa uswazi kwamba kuna watanzania wawili wamekamatwa wakiwa na madawa ya kulevya aina ya heroin yenye uzito wa kilo 1.3.watanzania hao wametambulika kwa majina ya ally mohammed hussein mwenye umri wa miaka 37 na mwengine ni machunga machunga ally mwenye miaka 30.bro wapo kama watatu hao ,na ndani yake pia yupo mkiristo,samahani ikiwa huelewi kijapani.dini ya cuf ni siasa
Sasa umejua kwao wanazo kutokana na biashara gani.Loo jamaa namfahamu tena kwao wanazo sana tu, sasa sijui ataka nini zaidi
Watu wawili wanaomiliki passipot za kitanzania Bwana Machenga Machenga Ali na Bwana Ali Mohamed Husein.Wamekamatwa na kilo1.3 za heroin.kama ilivyo tangazwa na ANNnewsCH.Watu hawa waliingiaBro wapo kama watatu hao ,na ndani yake pia yupo mkiristo,samahani ikiwa huelewi kijapani.Dini ya CUF ni siasa
Alichokitaka si hicho amekipata Jela hakutafuta mahali pa kupeleka huo unga wake amepeleka kwa hao Wavimba Macho ? kazi anayo akikoswa kunyongwa basi atakufia jela huko ujapanLoo jamaa namfahamu tena kwao wanazo sana tu, sasa sijui ataka nini zaidi