WaTanzania wabambwa Japani (Unga) -Kideo

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Je kuna anaemjua jamaa huyu.
 
Last edited by a moderator:
Bro wapo kama watatu hao ,na ndani yake pia yupo mkiristo,samahani ikiwa huelewi kijapani.Dini ya CUF ni siasa

Hahahaha hapo wajua kabisa wadanganya haya bwana! Sharia itachukua mkondo wake
 
Loo jamaa namfahamu tena kwao wanazo sana tu, sasa sijui ataka nini zaidi
Na huko hawana siri jamaa anapewa kinibu anawataja vigogo wote waliomtuma ,si gasha Tz ikawakanushia uraia .
 
In every b'ness the higher the risk the higher the profit and the inverse is true.............
 
bro wapo kama watatu hao ,na ndani yake pia yupo mkiristo,samahani ikiwa huelewi kijapani.dini ya cuf ni siasa
habari zimetufikia hapa uswazi kwamba kuna watanzania wawili wamekamatwa wakiwa na madawa ya kulevya aina ya heroin yenye uzito wa kilo 1.3.watanzania hao wametambulika kwa majina ya ally mohammed hussein mwenye umri wa miaka 37 na mwengine ni machunga machunga ally mwenye miaka 30.

Polisi wa Yokohama katika mkoa wa Kanagawa wametoa taarifa rasmi kuhusiana na taarifa za kukamatwa kwa watanzania na madawa ya kulevya . Wamesema kuwa wamewakamata watanzania wawili baada ya kuthibitika kuwa walimeza dawa za kulevya aina ya Heroin katika matumbo yao.Wakwanza aliyetajwa kuanguka kwenye mikono ya wajapani ni Machenga Machenga Ally mwenye umri wa miaka 33 na Ally Mohamed Husein (37) ambao wanadaiwa kumeza kilogram 1.3 za heroin zenye thamani ya fedha za Japani zipatazo Millioni 78 kulingana na Polisi wa mkoa wa Kanagawa. Yeni Millioni 78 ukitaka kujua kwa fedha ya Tanzania zidisha (78,000,000 x 17.1) [chanzo: website ya watanzaniaoslo]
 
Bro wapo kama watatu hao ,na ndani yake pia yupo mkiristo,samahani ikiwa huelewi kijapani.Dini ya CUF ni siasa
Watu wawili wanaomiliki passipot za kitanzania Bwana Machenga Machenga Ali na Bwana Ali Mohamed Husein.Wamekamatwa na kilo1.3 za heroin.kama ilivyo tangazwa na ANNnewsCH.Watu hawa waliingia
Kansai airport tarehe 23.Nov..lakini wamekamatwa maeneo ya Yamato Kanagawa ken na inasemekana wameripotiwa na mwenyeji wao baada ya mwenyeji wao kuona jamaa wanalalamika na maumivu ya tumbo yasiyoisha..
imetafririwa na mjapan kwa ufupi
.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom