WaTanzania wabambwa Japani (Unga) -Kideo

Questt

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2009
Messages
3,013
Likes
30
Points
135

Questt

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2009
3,013 30 135
In every b'ness the higher the risk the higher the profit and the inverse is true.............
 

Omukuru

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
244
Likes
2
Points
35

Omukuru

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
244 2 35
bro wapo kama watatu hao ,na ndani yake pia yupo mkiristo,samahani ikiwa huelewi kijapani.dini ya cuf ni siasa
habari zimetufikia hapa uswazi kwamba kuna watanzania wawili wamekamatwa wakiwa na madawa ya kulevya aina ya heroin yenye uzito wa kilo 1.3.watanzania hao wametambulika kwa majina ya ally mohammed hussein mwenye umri wa miaka 37 na mwengine ni machunga machunga ally mwenye miaka 30.

Polisi wa Yokohama katika mkoa wa Kanagawa wametoa taarifa rasmi kuhusiana na taarifa za kukamatwa kwa watanzania na madawa ya kulevya . Wamesema kuwa wamewakamata watanzania wawili baada ya kuthibitika kuwa walimeza dawa za kulevya aina ya Heroin katika matumbo yao.Wakwanza aliyetajwa kuanguka kwenye mikono ya wajapani ni Machenga Machenga Ally mwenye umri wa miaka 33 na Ally Mohamed Husein (37) ambao wanadaiwa kumeza kilogram 1.3 za heroin zenye thamani ya fedha za Japani zipatazo Millioni 78 kulingana na Polisi wa mkoa wa Kanagawa. Yeni Millioni 78 ukitaka kujua kwa fedha ya Tanzania zidisha (78,000,000 x 17.1) [chanzo: website ya watanzaniaoslo]
 

nyengo

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Messages
433
Likes
12
Points
35

nyengo

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2010
433 12 35
Bro wapo kama watatu hao ,na ndani yake pia yupo mkiristo,samahani ikiwa huelewi kijapani.Dini ya CUF ni siasa
Watu wawili wanaomiliki passipot za kitanzania Bwana Machenga Machenga Ali na Bwana Ali Mohamed Husein.Wamekamatwa na kilo1.3 za heroin.kama ilivyo tangazwa na ANNnewsCH.Watu hawa waliingia
Kansai airport tarehe 23.Nov..lakini wamekamatwa maeneo ya Yamato Kanagawa ken na inasemekana wameripotiwa na mwenyeji wao baada ya mwenyeji wao kuona jamaa wanalalamika na maumivu ya tumbo yasiyoisha..
imetafririwa na mjapan kwa ufupi
.
 

Forum statistics

Threads 1,203,319
Members 456,713
Posts 28,108,909