Watanzania waanza kumkumbuka Jakaya Kikwete

Ekyoma

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,177
2,804
Habari za jioni hii wana jamvi.

Watanzania waanza kumkumbuka JK. Hasubuhi ya leo nimeamka vibaya ata mia mbovu ckua nayo mfukoni na kama mnavyojua hom mkongwe alishakata ruzuku nikamwambia dem wangu wakati tunajiandaa kwenda chuo discussion naye akanambia kaishiwa.

Nikaona isiwe tabu ngoja niwapige mzinga wadau nikamcheki mchiz wa kwanza akanambia yuko ovyo mbaya bora utawala wa kikwete mambo yalikua mazur nikamcheki mwingine anafanya kazi za ujenz akanambia yuko hoi hajapata kaz ya kujenga tangu magufuli aingie madarakan nikamcheki wa tatu yy akanambia mzee wake kasimamishwa kaz kwa iyo familia iko hoi.

Nikamwambia mchumba akasema ngoja amcheki mzee wake ile kumpigia tu mzee akaanza kufoka jinsi binti yake anavyotumia ela ovyo utawala umebadilka kipind cha JK alikua anapata ela sasa ivi ola

Nikasema icwe tabu ngoja niingie mtaani nitafte site ya ujenzi nikapige kazi kila site niliyoenda wanasema kazi zimejaa wanaajir watu kidogo pesa hakuna magufuli kafunga ela nikaamua kwenda kariakoo kwa mwanangu akanipa shuka mbili tatu nitembeze kila mteja niliyekutana naye alilia kupunguziwa kwa madai magufuli kafunga ela sio kama kipindi cha JK. Baadae mchumba akanipigia cm kua mzee kamtumia laki ila kamwambia atumie vizur kwani magufuli kabana mno. Kila mtu na mazuri yake bana watanzania waanza kumkumbuka JK
 
Tusubiri. Baada ya mwaka 1 au kwa sana 2 ndio itajulikana asilimia ngapi watamkumbuka na asilimia ngapi watamsahau.
 
Acha uvivu kama hujui maana ya Hapa kazi tu utakufa njaa mjini rudi kijijini. Hakuna kupiga mizinga lazima usotee.
 
Habari za jioni hii wana jamvi.

Watanzania waanza kumkumbuka JK. Hasubuhi ya leo nimeamka vibaya ata mia mbovu ckua nayo mfukoni na kama mnavyojua hom mkongwe alishakata ruzuku nikamwambia dem wangu wakati tunajiandaa kwenda chuo discussion naye akanambia kaishiwa.

Nikaona isiwe tabu ngoja niwapige mzinga wadau nikamcheki mchiz wa kwanza akanambia yuko ovyo mbaya bora utawala wa kikwete mambo yalikua mazur nikamcheki mwingine anafanya kazi za ujenz akanambia yuko hoi hajapata kaz ya kujenga tangu magufuli aingie madarakan nikamcheki wa tatu yy akanambia mzee wake kasimamishwa kaz kwa iyo familia iko hoi.

Nikamwambia mchumba akasema ngoja amcheki mzee wake ile kumpigia tu mzee akaanza kufoka jinsi binti yake anavyotumia ela ovyo utawala umebadilka kipind cha JK alikua anapata ela sasa ivi ola

Nikasema icwe tabu ngoja niingie mtaani nitafte site ya ujenzi nikapige kazi kila site niliyoenda wanasema kazi zimejaa wanaajir watu kidogo pesa hakuna magufuli kafunga ela nikaamua kwenda kariakoo kwa mwanangu akanipa shuka mbili tatu nitembeze kila mteja niliyekutana naye alilia kupunguziwa kwa madai magufuli kafunga ela sio kama kipindi cha JK. Baadae mchumba akanipigia cm kua mzee kamtumia laki ila kamwambia atumie vizur kwani magufuli kabana mno. Kila mtu na mazuri yake bana watanzania waanza kumkumbuka JK
Kama bado una akili ya kupiga mzinga na kutembeza Shuka mbili kutwa nzima ni lazima utakumbuka awamu ya 4. Ongeza bidii Fanya kazi kijana.
 
Watanzania aina yako, wanaoishi kwa kuomba-omba hata ma girl friends wao. Ama wanaojali zaidi maslahi ya nchi na jamii, ng'o hawamkumbuki. Kipindi chake wanakiona kama jinamizi lililopita.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom