Na hivyo vyote itatoa CDM au utatoa wewe? Mbunge wenu hata nguo ya maana hana, kiwembe cha ndevu kinamshinda sasa ataleta maendeleo gani? Hebu tueleze ukweli. maji,umeme,mafuta,sukari na mengine yote Slaa ataviagiza mbinguni?Watanzania wenzetu wa Igunga Tabora kama kweli mnayo akili huu ndo wakati wa kuondoa chama ambacho kimezidi kutupeleka gizani inabidi muonyeshe kweli mabadiliko yanawezekana huu ndo wakati hakuna mwingine jaribu kufikiri tabu unazopata kwanzia shida ya maji, umeme, mafuta na sasa tunaelekea kwenye sukari na mengi ambayo hayakustaili tuyapate kwa utajiri tulionao sasa wakati wa mabadiliko ndo huu!
Mtawapa nini wakiwachagua. Majimbo yenu mengine nini mlicho kifanya, zaidi ya fujo? Tutoleeni upumbavu wenu.Hiyo nafasi wana wa igunga wakipoteza watakuwa wamepoteza maisha ya watoto na familia zao kwa kipindi cha miaka mitano kama wakilogwa kuchagua ccm tena.hebu wanaigunga chagueni CDM tuwaone hawa magamba kama watamvua mtu tena.
Wakichagua CCm basi hawana akili,wakichagua CDM ndio wana akili.Ujinga wa wananchi wengi ni mtaji wa ccm, ngoja tuone kama wana Igunga wamepevuka akili.

Mi nafurahishwa sana na wakazi wa Moshi, wakati wa kampeni mwaka jana, wakazi wengi walikuwa wanafurahia kuwa wapinzani kwani kwa kuwa upinzani wanajiona wao sio sehemu ya hii serikali mbovuTatizo lililopo Igunga ni kuwa Wanyamwezi ni wepesi sana kudanganyika na ndo sababu magamba wanapeleka vikundi vya ngoma,komedi na muziki bila kusahau msosi ktk kampeni. Hv vitu vinawapagawisha sana watu wa vijijini,lkn maeneo ya mjini ni vigumu. Anyway tusubiri tuone.

Mi nafurahishwa sana na wakazi wa Moshi, wakati wa kampeni mwaka jana, wakazi wengi walikuwa wanafurahia kuwa wapinzani kwani kwa kuwa upinzani wanajiona wao sio sehemu ya hii serikali mbovu

Watanzania wenzetu wa Igunga Tabora kama kweli mnayo akili huu ndo wakati wa kuondoa chama ambacho kimezidi kutupeleka gizani inabidi muonyeshe kweli mabadiliko yanawezekana huu ndo wakati hakuna mwingine jaribu kufikiri tabu unazopata kwanzia shida ya maji, umeme, mafuta na sasa tunaelekea kwenye sukari na mengi ambayo hayakustaili tuyapate kwa utajiri tulionao sasa wakati wa mabadiliko ndo huu!

Ushauri mzuri sana huo! Hata hivyo naomba kupata matokeo ya score card ya majimbo ambayo Chadema wameyanyakua katika uchaguzi uliopita. Kwetu Mbeya Mjini na kwa wenzetu kule Ubungo na Singida Mashariki, hakuna hata kero moja tuliyoahidiwa kutatuliwa ambayo imeguswa. Hali ya Igunga ya leo haitabadilika chochote kwa ahadi za watu ambao walituahidi asali na maziwa na mpaka sasa hata maji ya kunywa hatujayaona.

sisi si watumwa wa ccm. tumekwisha amua kuitokomeza ccm. tunajua kuwa nayo (ccm) inajua na kukiri kuwa imesha poteza mvuto, wanadhani wakiwatosa el, ra na ac pekee itarudisha mvuto, nawaambia hizo ni fikra za kishirikina, ccm waandike maumivu kwenda mbele!!!!!