Watanzania Uturuki

Naona hawa jamaa hawana wanalofanya huko isipokua madawa ya kulevywa na sigara nene !!!!
Kwa hali hii ni bora wabaki tu huko2 wasije wakaja kutuchafulia mazingira zaidi ya haya yaliyopo !!!!

Sio kila alieko Turkey ni mtu wa mdude.
Kama mtu anauza mdude, yote ni maisha. Heri muuza mdude ughaibuni kuliko mijizi na mifisadi ya bongo.
Kwa mazingira gani tulikokuwa nayo Tanzania?
 
Hili ndilo Kaburi la Marehemu Chale mungu amuweke pema peponi.


''UMETOKA KWA UDONGO NA UTARUDI KWA UDONGO.''

 
Last edited by a moderator:
Naona hawa jamaa hawana wanalofanya huko isipokua madawa ya kulevywa na sigara nene !!!!
Kwa hali hii ni bora wabaki tu huko2 wasije wakaja kutuchafulia mazingira zaidi ya haya yaliyopo !!!!
Mkuu mathcom Wanavuta Unga kwa Raha zao wenyewe,wache Wastarehe wasipostarehe hapa duniani watastarehe wapi? makaburini? Mambo ya Ngoswe muachie ngoswe mwenyewe mkuu.
 
Last edited by a moderator:



Ehh binadamu tumetoka mbali lakini mwisho wetu ni hapa jamani.......................:crying::crying::crying:
 
huyu ni Mtanzania mmoja aliyezikwa hapo hapo Makaburini Msafiri wa siku nyingi Mungu amuweke mahali pema peponi anaitwa modi ambrose aliyefairiki mwaka 2003.







Jamani tuwache vitu vyote hapa mahli ni pazito sana jamani..................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…