Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
- Thread starter
-
- #21
Mkuu Mwana Mtoka Pabaya Ndio mkuu wakina dada wa kiislam wa ki Tanzania wahudhuria kwenye Mazishi ya chale Kanisani. huku Nchi za nje hakuna udini watu wanaishi kama ndugu hakuna ukabila wala Udini akifa mtu watu wanakuwa kitu kimoja wanashirikiana watu wote wa dini zote iwe Kiislam au kikristo udini huko kwenu Tanzania.
kaka weee tumbo punguza kunywa midanga kaka kwa pombe weachaaaaa tu
mkuu mathcom marehemu alikuwa ni mgonjwa mteja sasa alipokwenda huko jela kakosa unga wa kuvuta sasa si unajuwa ukiacha unga kuvuta maradhi lazima yajitokeze ndipo maradhi yalipo jitokeza na ndipo alkipofariki sio sasa ya jela hapana unga bwana alikuwa mteja marehemu.Huyo kafa kwa mda wake wa kuishi kumalizika duniani, kama jela ni tatizo basi segerea asingeishi mtu hata kwa nusu saa!!