Watanzania tuwe macho

Kwahiyo unataka kusema haya mauji yanayotokea yanafanywa na serikali? Acha kupotosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo anaeuwa watu ni nani embu tutolee ufafanuzi tujue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hatua zaidi za kuchukua, Kagame hakuwa mjinga alipoanza kuuwa kwa ajili ya nchi,nadhani Maghufuli sio vibaya pia akianza kufuata mkondo huo,maana usali na msaliti wote wanapaswa watokomezwe.

Kwani akifa tundu lisu na Zitto nini kitapungua nchini? Uwa mmoja okoa wengine Mil. 49.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni uongo Tundu Lissu hajamiminiwa risasi 38 na kunyimwa gharama za matibabu na serikali sikivu??

Ni uongo Kibiti raiya hawajapigwa risasi???

Ni uongo Ben SaaNane na Azory hawajapotea na polisi hawajatoa taarifa??

Ni uongo wanunuzi wa Korosho hawajafurushwa na kuingiza jeshi kwenye manunuzi na kuzirudisha korosho kwa wakulima??

Ni uongo wakuu wa wilaya na mikoa hawajawaweka rumande wawekezaji juu ya maswala ya kodi??

Ni uongo serikali haijawaadhibu kwa kuwanyima haki za kusoma wanafunzi waliobakwa na kupata mimba??

Ni uongo miili haijaokotwa kwenye viroba baharini na serikali ikatangaza kuwa hiyo ni miili ya wahamiaji haramu??

Ni uongo CCM haijapokonya haki ya wanzanibar kumchagua waliyeona anafaa kuwa raisi wao??

Ni uongo haki na sheria za vyama vya siasa hazijakanyagwa na dola??

Ni uongo sheria za mitandao hazijatumika kuwabambika kesi wanaoikosoa serikali??

Ni uongo sheria za vyombo vya habari hazijatumika kuwanyima watanzania haki za kutoa maoni yao kwa kuwabambikia kesi wale wanaoikosoa serikali???

Ni uongo sheria za takwimu hazijatumika kuwadhibiti wanaofanya tafiti mbalimbali especially zinazokosoa mwenendo wa serikali??

Kwanini mnakimbilia matokeo ya kuporomoka kwa uchumi badala ya kudeal na vyanzo kuporomoka kwa uchumi wa nchi???


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaharibuuu...unaharibu wewe...sio maneno ya kutamka public Haya.

Unaharibuuu weweee....(in Kitenge voice ile Siku ya Napelembe)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hujaweka namba ya simu?Hivi haya ya unyanyasaji na mauaji hapa kwetu bongoland hayapo tunamsingizia mtu?Na kama yapo yanaathiri uchumi.wetu kwa nini serikali ya CCM isiyaache uchumi ukue?Hivi unataka kutuaminisha Lissu na Zitto ndio wamezuia korosho zisiuzwe?,ndio watu wasiojulikana?Ndio wanaonyanyasa wapinzani na wafanyabiashara?Ndio waliozuia makinikia?Ndio waliompoteza Ben Saa nane na Azzory Gwanda?Acha mazarau aisee sometimes uwe unakuwaga serious.Aliyeyasababisha haya anajulikana na mmeamua kumlinda kwa gharama ya uchumi wetu na maisha yetu watanzania
 
Think tank ya UVCCM
 
Unaharibuuu...unaharibu wewe...sio maneno ya kutamka public Haya.

Unaharibuuu weweee....(in Kitenge voice ile Siku ya Napelembe)

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanazingua sana hao jamaa wallah.....!!

Kama uchumi wa nchi unaharibika na watu wanahangaika kwa ajili yao,ya nini kuwalea? Chapa shaba, watazaliwa wengine huko baadaye..!!

Kama nchi imedumu pasipo na Nyerere na Karume,sembuse hawa panya,let the go....!!

Mmamaye zao sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha sawa, ila tatizo timing na kukurupuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamuongelei athari za kutangaza kiama cha ma gay kimedhoofisha vipi sekta ya utalii? Wengine si ma gay lakini wana ndugu wa karibu ambao hawataki wanyanyaswe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…