jaruri
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 717
- 459
Ni wazi kuwa rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kuleta maendeleo kwa watanzania hasa wanyonge. Tangu aingie madarakani amefanya mambo mengi mazuri ya kujivunia kama [HASHTAG]#Elimu[/HASHTAG] bure, tumenunua ndege zetu mpya, nidhamu ya kazi kwa watumishi wa umma, rushwa imedhibitiwa kwa kiasi kikubwa, ujenzi na uanzishwaji wa viwanda mbambali, reli ya treni ya umeme, mabweni UDSM, apartments Magomeni na mengine mengi.
Kwa mtanzania mzalendo anaweza yaona haya japo kwa wapinga maendeleo hawaoni wao kazi yao ni kutoa dosari na maneno ya kuvunja moyo ili serikali ionekane haifanyi chochote. Naomba watanzania wazalendo tuwapuuze hao kwani hawana nia njema na nchi yetu. Wengine wako nje ya nchi kazi yao ni kuweka post za kutugombanisha then wanakaa pembeni wanatucheka tunapogombana na kupoteza focus ya kufanya kazi za kuiletea nchi yetu maendeleo.
Nawaasa watanzania wenzangu tutumie akili zetu kabla hatujashare post mitandaoni tuangalie je content ya hiyo post ina maslahi gani kwa taifa?
Mungu ibariki Tanzania na mpe maisha marefu rais wetu mpendwa Magufuli.
Wasalaam