Watanzania tusitishane....

tramadol

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
5,383
Reaction score
4,323


Hii kadhia imeishia wapi je kuna mtu yoyote aliyepoteza maisha maana meseji zilizokuwa zinasambazwa kuhusu kula mboga za majani na uwepo wa huyu mdudu kama vile kuna sumu imeingia nchini na sasa watz wanateketea wakati sisikii tena kuendelea kwa hizo meseji?
 
Kama matunda yenye hao wadudu basi tulishakula mengi tu

Jamii Forums mobile app
 
Ni babari ya uwongo ulio tukuka...[emoji47] [emoji47]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…