Watanzania tuoe Kenya hamna wanawake Tz

Watanzania tuoe Kenya hamna wanawake Tz

Mapenzi ya wanawake wengi wa Tanzania ni kudanga tu,atapataje hela toka kwa mwanaume ,wengi wana akili za nyumbu.

Wanawake wa kenya wapambanaji,watz tuoe Kenya
Kaka kama una link we tupia hata hao wakenya wa mtandaoni tuwape jina la mwisho
 
Pisi = mademu wakali

Wamenyata = hawana mvuto

Lugha za vijana hizo nimechomekea tu
(Tatizo la Kenya peace za kuchagua sana)
Sijaelewa.............i

(madem wao wengi wamenyata..)
Sijaelewa.............ii
 
Mapenzi ya wanawake wengi wa Tanzania ni kudanga tu,atapataje hela toka kwa mwanaume ,wengi wana akili za nyumbu.

Wanawake wa kenya wapambanaji,watz tuoe Kenya
kaolewe tu kenya
 
Mwanamke Mkenya ukimuachi familia hatojiuza na maisha yatasonga mbele ila hii mibuibui yetu inayotegemea kunasa kila mdudu lazima ijiuze.
 
Nime pita thread moja ya wakenya nkaona wanawasifia haw dada zetu na kwenda mbal kuapa kuja kung'oa tz as am wondering watz tukaoe kenya tena
 
Back
Top Bottom