Watanzania tuoe Kenya hamna wanawake Tz

Watanzania tuoe Kenya hamna wanawake Tz

10mil

Member
Joined
Jun 14, 2019
Posts
64
Reaction score
79
Mapenzi ya wanawake wengi wa Tanzania ni kudanga tu,atapataje hela toka kwa mwanaume ,wengi wana akili za nyumbu.

Wanawake wa kenya wapambanaji,watz tuoe Kenya
 
Wanyime tu hizo pesa

Sasa kama mnaombwa na kutoa mnalaumu nini kwa mfano
 
Uko sahihi kabisa watoto wa kenya watafutaji black beauty flani amazing na boob's saa 6 wenzao ulapa sjui wanakwama wapi na wanapenda kupewa hawapend kujitafutia
 
Tuoe kenya
Uko sahihi kabisa watoto wa kenya watafutaji black beauty flani amazing na boob's saa 6 wenzao ulapa sjui wanakwama wapi na wanapenda kupewa hawapend kujitafutia
 
Umasikini mbaya sana. Hakuna mwanamke toka dunia hii ianze asiependa vitu vizuri duniani kote. Masikini mnaita kuonga matajiri wanaita zawadi kwa mwanamke wake.
Mimi nawashauri tutafute pesa tu
 
Na Rwanda pia. Hawa wa kwetu shetani kashawachumbia wote
 
Burundi napo ni rahisi mno.
Wale ndo wanajua maisha kwelikweli.
 
Tatizo la Kenya peace za kuchagua sana mzee.madem wao wengi wamenyata..
 
Kuna mantiki, hasa ukiunganisha na kipigo walichoipa staz majuz
 
Back
Top Bottom