PauloKichaa
Senior Member
- Jun 6, 2011
- 124
- 40
Tatizo la watanzania wa Leo siyo katiba mpya Ila hawana uwezo wa kuilinda na kuitetea katiba hata hiyo ya kale🙉🙉Hii nchi japo kweli haina dira, Ila angalau waliopita b4 Maghufuli walikuwa na uelewa wa hiki kitu , to be honest Maghufuli kaja kaharibu kila kitu,.... Alikuwa na mikakati yake kichwani tuu , bila kufanya calculation ya athari ya moja Kwa moja kwenye uchumi wa wananchi , japo indicator zilianza kuonyesha uelekeo mbovu , Ila jamaa akawa na kiburi Tu, huku akikosa wahisani kwenye miradi yake iliyokuwa ina overwhelming Taifa akabuni Kodi za hovyo hovyo ,na kupora hela huku na huku , za wastaafu, kukopa huku na kule , kuminya ajira, kuchungulia accnt za watu na kuwabambikizia kesi ili achote hela zao , ili kutimiza malengo ambayo yalikuwa ni impossible right now , akiwa ameishiwa pumzi aliamua kubuni mikakati ya kubaki madarakani ili akamilishe miradi yake aliyokurupuka kwayo ..
Utawala wa Maghufuli umetoa funzo kubwa Sana , Kwa mara ya Kwanza nipo mstari wa mbele kuwa na kudai katiba mpya...
Jamaa kaonyesha namna katiba hii ilivyo mbovu ajabu , na bado aliikanyaga tuu Kwa kiburi Tu yaaan
Tatizo la watanzania wa Leo siyo katiba mpya Ila hawana uwezo wa kuilinda na kuitetea katiba hata hiyo ya kale[emoji86][emoji86]
Kwahiyo mwanao akifaulu mtihani wa darasa la saba hutakiwi kufurahi kwasababu atakuja kufeli mtihani wa form four ???Ukiangalia yanayoendelea utagundua tatizo la hii nchi ni kutokuwa na dira shirikishi ya pamoja ambayo inatoa mwelekeo wa hii nchi na wananchi wakaelewa na hii ndio maana kila anayeingia tutamshangilia hasa anapoenda kinyume na mtangulizi wake halafu baada ya muda mbele tunaanza kumkumbuka mtangulizi
Nadhani sasa ni wakati wa viongozi wetu kutuweka sawa katika hili kama nchi ielewe kama ni miradi ya kimkakati ya miundo mbinu inatakiwa kutekelezwa kwa miaka 10 ijayo ijuilikane na wanaokuja regardless ya chama watekeleze ilazo zibakie kuchochea ukuaji wa uchumi
Vinginevyo kila baada ya uchaguzi tutashangilia halafu tunaanza maumivu
Tatizo la watanzania wa Leo siyo katiba mpya Ila hawana uwezo wa kuilinda na kuitetea katiba hata hiyo ya kale🙉🙉
Sawa sawa,hakuna shida hata hiyo reli na umeme anaweza amua akaacha,vipi Magazeti yanafunguliwa au ni viTV Mtandao tu🤣🤣🤣🤣,kalakhabaoJPM ndio pekee alikuwa hana dira wala mipango Kikwete hakuna jambo la Mkapa aliliacha aliendeleza yote lakini JPM akaleta uChato.Unadhani kisa kaanza madudu yake mama ayaendeleze. Chato projects ndo mwisho. Na mama kasema reli na umeme ndio miradi ya kimkakati ataendelea nayo.