inawezekana asee. ila wangetakiwa waweke kwenye mchanganuo ili wateja waelewe, kama ilivyokuwa awali!vat....rea?!!
hujaweka 18% ya VAT. Lakini mchanganuo wako unatakiwa kuonesha VAT 18%, EWURA 1% na REA (3% kama sikosei).
hujaweka 18% ya VAT. Lakini mchanganuo wako unatakiwa kuonesha VAT 18%, EWURA 1% na REA (3% kama sikosei).
Yaani mtu unalipa elf 50 inakatwa mpaka unabaki na elf 29!!!!???
Ni wizi uliotukuka. Yaani hata umeme sio necessary goods ndio maana una kodi. Tuseme hizo REA, service charges na mengine hayawezi kukatwa kwenye hiyohiyo hela ya units mpaka watukate separately??
Vijana Kwa wazee tuache kulalamika maamzi Ni kujiandikisha kisha kuwasubiri October 25....
VAT 18%? REA? EWURA? Au ulidhani makato ni service charge tu?