Hio APP ni nini mkuu unaweza fafanua zaidi?Majibu mabovu hayamkatishi tamaa muelimishaji". Naunga mkono kweli kama tukitumia vizuri mtandao(internet) tunaweza kupata maarifa, elimu na mambo mengi sana. Mtoa post usijari kuna APP inakuja,waweza kuwazimia data watu wote wasio kuwa na matumizi mazuri na mtandao.
APP-applicationHio APP ni nini mkuu unaweza fafanua zaidi?
Ipo hivyo lakini wenzetu wapo kazini hapo.Ulaya mtu mara nyingi unapata nafasi ya kujibu mail,kuagiza vitu kuaply vitu mbali mbali, kufanya malipo kwa hiyo cm. Zamani ilikua lazima ufanye nyumbani kwenye desktop,ikaja laptop then tablet. kwasasa vyote ni mzigo tu.cm inafanya kazi zote.Kote iko hivi
S iuacha kuisikiliza,kwani lazima !!?Naichukia sana Clouds fm
ghiihh apprication hiyo ni maalumu kwa taasisi fulani husika, ni ngumu kwa mtu wa kawaida kuweza kui contol. mfano selikari inaweza kutumia njia hiyo ya kuzima data kwaajiri ya jambo maalumu.Hio APP ni nini mkuu unaweza fafanua zaidi?
Upo lakini masharti yake magumuHivi mshana hakuna uchawi wa kupata internet bure
Dampo la kupotosha maadiliNaichukia sana Clouds fm