Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,151
- 166,094
kuna kauli inasema "NI RAHA SANA KUTAWALA MAITI"Tutatapeliwa mpaka tutie akili mwaka huu, maana tumeamua wenyewe kwa hiari zetu kuwa mazuzu
Akili mfukuna kauli inasema "NI RAHA SANA KUTAWALA MAITI"
ndo sisi
Kuna Namaingo, wapigaji wabobeziNikikumbuka utapeli wa babu wa Loliondo, mafuta ya ubuyu na mayai ya kware nashindwa kuwashangaa Wabongo
Namaingo wanawaambia watu wapige nyoka, siafu Na mende, yaani full sanaaNikikumbuka utapeli wa babu wa Loliondo, mafuta ya ubuyu na mayai ya kware nashindwa kuwashangaa Wabongo
DEC.....Kuna Namaingo, wapigaji wabobezi
Yeh mwenyewe Hata bata hafugi teh tehKuna Namaingo, wapigaji wabobezi
Ndio maana makampuni yanaajiri ma CEO na wakurugenzi kutoka njeDEC.....
FOREX......
BABU WA LOLIONDOO......(Hadi vigogo waliingia kingi)
MAYAI YA KWARE.......etc
Hata sahv akitokea Mtu akiwambia mayai ya kenge yanatibu magonjwa yote watakujaaa mazuzu kibaooooo ......Watz kudanyika its vere veré simpo ......
Ova
Kajaribu wewe kuiba tuoneGongo la Mboto eti mwizi kang'atwa Na nyuki.
Ukiitazama hiyo picha nyuki hawamuumi mwizi Ila wamemsambaa usoni.
Bee sting Ina sumu Kali, nyuki wakikung'ata lazima uvimbe.
Sumu/ mwiba wa nyuki ni kifo.
Pichani ni mtu aliye warundika nyuki mwilini kama aluvyofanya tapeli wa Gongo la Mboto
Mi mbona nimewapiga sana? Sasa nimeamua kubadili maisha yanguKajaribu wewe kuiba tuone
Inawezekana,lakini so kila mtu huwa anavimba aking'atwa nyuki. Kuna watu hata maumivu hawasikii huyu anaweza kuwa mmoja wao na anatumia kama advantage ya kutapeli watu.Gongo la Mboto eti mwizi kang'atwa Na nyuki.
Ukiitazama hiyo picha nyuki hawamuumi mwizi Ila wamemsambaa usoni.
Bee sting Ina sumu Kali, nyuki wakikung'ata lazima uvimbe.
Sumu/ mwiba wa nyuki ni kifo.
Pichani ni mtu aliye warundika nyuki mwilini kama aluvyofanya tapeli wa Gongo la Mboto
Si kweliInawezekana,lakini so kila mtu huwa anavimba aking'atwa nyuki. Kuna watu hata maumivu hawasikii huyu anaweza kuwa mmoja wao na anatumia kama advantage ya kutapeli watu.
Unataka kusema kuwa jamaa ana DNA ya huney burgers?Inawezekana,lakini so kila mtu huwa anavimba aking'atwa nyuki. Kuna watu hata maumivu hawasikii huyu anaweza kuwa mmoja wao na anatumia kama advantage ya kutapeli watu.