Watanzania tuna laana?

Daaah shule shule shule muhimu sana aiseeee, hicho kiswahili chako hatariii
 
Rahana ni mnyama gani? Pili nani alikudanganya kwamba upuuzi wa mtu mmoja ni tunu kwa taifa? Hizo chips lilinunuliwa taifa zima ama?
 
Mkuu naona umeiripot kwa bwebwe sana habar ya Mtanzania Richard, wakat anatoa shuhuda ya maovu yake tena kwa Lugha ya Kiswahili, kwakweli Inatia Uchungu sana bt yameshatokea na Mungu amemtendea jema, amefanya uponyaji Juu ya tatizo lake, hatupaswi kudharau au kutoa hukumu coz siyo kazi yetu
 
Dah! Hata sijui nianzie wapi.
bora ujipie zako coz usije ukamuhukumu wakat si kaz yako! Nimemuona yule kijana J2 iliyopita na Leo kwa kweli Binadamu inabidi tumshke Mungu kisawasawa
 
Duu hii mpya eti rahana......pia watu kwa uongo eti viongoz wskubwa kama wabunge na mawazir,hahahahaa nahis hiyo chumv umeongeza mwandsh(mwanafunz) ili urembeshe iyo "rahana"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…