Watanzania tuna Husuda sana

Watanzania tuna Husuda sana

Chukulia sakata la makontena kama mfano tu. Halipendezi kama. Mambo yetu mengi tu.
Kwa uzoefu wangu Mdogo Ingawa niko Ulaya Sasa more than 10 years, Watz hatupendani. Wengi tumefika tulipo kwa njia nyingi ambazo pia zipo zisizo Halali. Lakini Watanzania habari mbaya kwa wengine tunazifurahi sana. Mission town za makontena Sio jambo La ajabu bongo. Ila wabongo tuna wivu na husda sana. Tunapigana sana Majungu. Na nyuma ya Keyboard, kila mtu mwema hata Jambazi aliyefanya mauaji atakuja humu na Kuandika kuhusu wasiojukana. Na watu watadakia juu kwa juu kama walikuwapo. Hata Mada za humu nyingi zahusu Watu binafsi Majungu wala Sio ya msingi kwa ajili ya Maendeleo yetu. Endeleeni tu. Ila mjue tunajiangusha wenyewe.
Naunga mkono hoja raha ya mtazania anapenda akuone unasuffer kama anavyosuffer yeye na life ikibidi uwe chini kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwa vituko vya Daud Albert Bashite mkuu huyu kiumbe ana mambo mengi sana ya kujibu waTZ hivyo siungi mkono hoja na kwa hili acha nionekane mnafiki tu.
 
Kama uko ulaya halafu unakua mngese kiasi hiki basi hakuna haja ya kuishi ulaya!! F*ck you
 
LEMUTUS in another ID.,. kwani mkuu HATA kama UNGESEMA upo MBAGALA MAJI MATITU usinge eleweka BANDIKO lako? ww unajuwa kuna wangapi wameumizwa na huyo unayemtetea?wht goes around comes around MKUU,,UNAPOKULA kumbuka na KULIPA....haya ndy malipo ,,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom