Serikali kuchukua shule binafsi ambayo inasemekana inamilikiwa na ccm na ilikarabatiwa kwa fedha za rambirambi (umma) ya wahanga wa tetemeko Kagera lilihitaji mjadala wa kina. Tulihita majibu kabla ya maamuzi hayo, kama kukarabati shule binafsi kwa pesa ya umma (rambirambi ni kosa au sio kosa), je huu sio ufisadi? Uamuzi wa kuchukua shule hiyo kama ni kosa hatua gani zimechukuliwa zidi ya aliyefanya kosa hilo
Hata hivyo kuna maswali mengi ya kujiuliza ambayo yanahitaji ufafanuzi kama ifuatavyo:
1. Je, serikali ilikuwa na hitaji la shule?
2. Je, serikali itachukua na shule nyingine ambazo zina hali kama hiyo nchi nzima?
3. Je, serikali ilijiridhisha sifa za walimu na wanafunzi wa shule hiyo kabla ya kuwachukua?
3. Je,njia iliyochukuliwa na serikali kununua/kuchukua shule ambayo inakashfa/tuhuma za kukarabatiwa kwa pesa za rambirambi