imefikia hatua watanzania waliokosa uzarendo kwa kuitangaza nchi yetu nzuri kwamba haifai ila Rwanda ndio inafaa.hii kauli imekuwa ikinikela sanaaaaa!!!!najua tutachengana mawazo na baadhi ya wanaojiita wazarendo huku wakiipondea nchi yao na kusifia nchi nyingine....nilijaribu kufanya utafiti kutoka benki kuu ya dunia(IMF)Katika nchi za afrika mashariki,kenya inaongoza kiuchumi kwa pato la taifa GDP/PPP asilimia40%,ikifuatiwa na tanzania ambayo pato lake linakuwa kasi sana pamoja na mafisadi kuiba ni asilimia 28%,Uganda asilmia 20%,Rwanda wanayoisifia ni asilimia8% ya pato la taifa huku Burundi ikiburuza mkia kwa asilimia 3%sawa na pato la NSSF.je nauliza swali ni kigezo kipi watanzania wasio kuwa wazarendo na nchi yao wanaisifia rwanda?acheni hizo tunachopaswa kuwa wazarendo na nchi yetu kama MWALIMU JULIUS NYERERE.hakupenda zarau.HII NI SAWA NA MWANAMKE AKIGOMBANA NA MKE KUTOA SIRI ZAO NJE.huko nje hakuna msaada isipokuwa kuzarauliwa.