HAKI sio movement ya wakatoliki pekee, mimi sio mkatoliki lakini na support movement kwa sababu ni ya haki, utauliza kwanini na support ? tukiendelea na huu mfumo usiofuata sheria wala katiba hatuwezi kuendelea kama taifa, zile sheria zimewekwa kwa ajili tustaarabike ndiposa tuendelee tofauti na hapo hatuna tofauti na wanyama kuuana, kubakana, kutesana, kulana nyama kama ilivyotokea 29 october inaweza kutokea na zaidi nakadhalika na kadhalika.