nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,943
- 2,935
Ndebile mpaka kwenye ubongoHata Marekani ambao wanatoa misaada dunia nzima kuna "watu wazima omba omba" wanaolala mitaani, hawana bima za afya na wanakufa kwa baridi kali! Hakuna kitu kibaya kama UMASKINI WA FIKRA, tunao maskini wa fikra hapa JF, mtaani, kwenye familia zetu, nk..
Hadi shemeji yako atakuchoka maana bado mitano na wakipa kura ikitupendeza tunaondoa ukomo wa mihula, dadadeki.! Mkuu umeona Krismass ya mwaka huu ilivyokuwa tulivu!Ndebile mpaka kwenye ubongo
Tulisha patiwa jina kuwa ni malofaSalaam,
Wakati ule mkuu aliposema nitawafanya muishi Kama shetani, wengi tulijua kuwa hao wanaosemwa no wenye ukwasi na wapigaji.
TAKASHANGILIA KWA MAKOFI NA VIGELEGELE
Ilipoanza tumbua tumbua, TUKAFURAHI, watanzania wenzetu kudhalilishwa hadharani.
Walipotafutwa wenye magodown ya sukari, tukasema, MKUU HUYU KIBOKO anajua Sana tena kila kitu.
Leo hii ninapoandika post hii, tumetambua kuwa kumbe maneneno huumba, yawezekana msemaji hakujua mwisho wa maneno yake ni utimilifu.
Ndiposa watanzania tumefika mahali tumesema TUNAMSHITAKIA MUNGU, maana hakika tunaishi Kama shetani.
Suala la chai asubuhi tulisha sahau kitambo, familia chache Sana zinapata chai asubuhi, kuwa sukari haikamatiki.
Mlo wa mchana nao ukipatikana no bahati
Mzunguko wa pesa mtaani ni Kama haupo.
Watu wanasema afadhari walipokuwepo hao walioitwa wapigaji.
Walipiga wakaingiza hela mtaaani, maisha yalikuwa pesi.
MUNGU TUSAIDIE
Hali hiyo inawahusu wapinzani tuHadi shemeji yako atakuchoka maana bado mitano na wakipa kura ikitupendeza tunaondoa ukomo wa mihula, dadadeki.! Mkuu umeona Krismass ya mwaka huu ilivyokuwa tulivu!
Ndiposa watanzania tumefika mahali tumesema TUNAMSHITAKIA MUNGU, maana hakika tunaishi Kama shetani.
MUNGU TUSAIDIE
mpaka mwezi wa sita tutakuwa tumenyooka kama rula mkuuTulia hii ni mitano tena! Mbaya zaidi ndio tupo mwezi wa kwanza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Wale mdomokaya wa Lumumba watakuwa wameelewa nini maana ya kuisoma nambampaka mwezi wa sita tutakuwa tumenyooka kama rula mkuu