simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,699
- 9,590
World's Longest Word Has 189,819 Letters, Takes 3.5 Hours To Pronounce (Now With Video Pronunciation!)Hicho cha mtoto Kaka Andrew. Unasemaje kuhusu hili neno (jina la mtaa mmoja huko NZ):
Taumatawhakatangihangakoauauotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu
Linahisiwa kuwa jina refu zaidi duniani with 85 letters. Ukitaka kujifunza lugha yao inabidi ujipange kwa urefu wa maneno maana yanakaribiana kwa urefu.
Ref: The World's Longest Place Name
Hicho cha mtoto Kaka Andrew. Unasemaje kuhusu hili neno (jina la mtaa mmoja huko NZ):
Taumatawhakatangihangakoauauotamateaturipukakapikimaungahoronukupokaiwhenuakitanatahu
Linahisiwa kuwa jina refu zaidi duniani with 85 letters. Ukitaka kujifunza lugha yao inabidi ujipange kwa urefu wa maneno maana yanakaribiana kwa urefu.
Ref: The World's Longest Place Name
Mkuu, utaniumbua bure. Kaka Andrew Nyerere na Deogratius Kisandu ni wa kuwaambia hivyo tu. Hakuna namna nyingine!
mbona zilikuwepo tangu zamani mkuu. Sijui unataka kusema niniWhere do we go from here?
Matatizo yetu ni elimu. Tazama topics zilizopo katika physics:
theoretical physics, particle physics, medical physics.thermodynamics ambayo ni muhimu katika viwanda.
Huu ndio mkakati wa CCM bila shaka. Ndio maana walimchagua Magufuli.
Dah! Tafiti (e.g. Distribution of Word Lengths in Various Languages - Ravi Parikh's Website) zinaonesha wastani wa herufi kwa maneno (words) ya Kiingereza ni 8.23. So, hilo neno lenye herufi 189,819 ni wastani wa maneno ya Kiingereza 189,819/8.23 = 23,064.
ameshajuabowlibo mweleze huyo, mziki wa Andrew Nyerere una GT wenyewe.
teh teh tehWenyewe huwa wanajiteteaga "mafungu ya research" kutoka Serikalini hayatoshi!
Where do we go from here?
Thermodynamics.
Huu ndio mkakati wa CCM bila shaka. Ndio maana walimchagua Magufuli.
Quiz ndogo tu (kama hutanii)mi mwenyewe kapa, nafatilia kwa karibu ili tuone wenzake (wapo) watakujaje
ahahahahaah itakuwa ni chemicalphysicsThermodynamics mboni ni chemistry Andrew au?
Thermodynamics ipo hata kwenye Physics mkuuThermodynamics mboni ni chemistry Andrew au?
Pure logic ya mada!!!Andrew labda metaphysics, na aliyepo sio porofesa wa Fizikia bali ni wa Kemia, na anachofanya sasa ni kusafisha nchi kwa kutumia fractional distillation kwa kuichemsha kwa different boiling points kwa sababu kila element inayo latent heat yake ya vaporization, wataokofika mwisho ni pure elements!.
Paskali
DaaaaaahThermodynamics mboni ni chemistry Andrew au?
Hongera mkuuThermodynamics somo pana na muhimu kwenye fani ya engineering
Physics na Chemistry. Subject matter inakubalina kwa kiwango kikubwa fani zote tatu ila kila somo linasisitiza some aspects of thermodynamics. Mfano engineering inasitiza heat engines mfano steam turbines. Physics inajikita zaidi kwenye statistical mechanics.
Andrew nilichouliza ni thermodynamics ni Fizikia na aliyepo ni mtaalamu wa Kemia wapi na wapi?. Labda Metaphysical.Nadhani siyo fractional distillation kuisafisha nchi.
Nadhani ulitaka kuandika fractional banking wanayotumia bankers kusafisha mifuko yetu.
Hongera mkuu
Hiyo thermodynamics mimi nimeidoma kwenye mechanical engineering. Asikwambie mtu ni balaaaa