Mkuu, utaniumbua bure. Kaka Andrew Nyerere na Deogratius Kisandu ni wa kuwaambia hivyo tu. Hakuna namna nyingine!
Unaposoma medicine ni lazima uwe patient maanake utakuta neno moja lina herufi thelathini.
mi mwenyewe kapa, nafatilia kwa karibu ili tuone wenzake (wapo) watakujajeAsante kwa ushauri ndugu...
naomba basi wewe uning'amulie kidogo ulichoelewa hapo...
Braza nakuelewa sanaaaa...Na ndio maana napenda bhange
Utakuwa ulisoma CBG au CBN wewe..!!Thermodynamics mboni ni chemistry Andrew au?
Wine ya leo siyo kali sana, au ni bado haijapanda?Unaposoma medicine ni lazima uwe patient maanake utakuta neno moja lina herufi thelathini.
Andrew labda metaphysics, na aliyepo sio porofesa wa Fizikia bali ni wa Kemia, na anachofanya sasa ni kusafisha nchi kwa kutumia fractional distillation kwa kuichemsha kwa different boiling points kwa sababu kila element inayo latent heat yake ya vaporization, wataokofika mwisho ni pure elements!.Where do we go from here?
Matatizo yetu ni elimu. Tazama topics zilizopo katika physics:
theoretical physics, particle physics, medical physics.thermodynamics ambayo ni muhimu katika viwanda.
Huu ndio mkakati wa CCM bila shaka. Ndio maana walimchagua Magufuli.
hata sexminology-moneylism-kysensm-tilapia-zomptiliafamigation lingesaidia sana kupunguza foleniPia somo la metaphysicotheo-logico-cosmolo- nigology lipewe kipaumbele.
duu leo tutaona mambohata sexminology-moneylism-kysensm-tilapia-zomptiliafamigation lingesaidia sana kupunguza foleni
hahahahahahaUnaposoma medicine ni lazima uwe patient maanake utakuta neno moja lina herufi thelathini.
Hicho cha mtoto Kaka Andrew. Unasemaje kuhusu hili neno (jina la mtaa mmoja huko NZ):Unaposoma medicine ni lazima uwe patient maanake utakuta neno moja lina herufi thelathini.
sio mambo tu, serikali yetu sio sikivu kabisa halafu kila siku wanaagaika kutafuta njia mbdala wa foleni njia ni hiyo tu waingize huo mtaala shule za awali na vidududuu leo tutaona mambo
hahahaaa, yaani kale katoto kangu ka chekechea.....duuuu..katachizika jamanisio mambo tu, serikali yetu sio sikivu kabisa halafu kila siku wanaagaika kutafuta njia mbdala wa foleni njia ni hiyo tu waingize huo mtaala shule za awali na vidudu
Wenyewe huwa wanajiteteaga "mafungu ya research" kutoka Serikalini hayatoshi!mi nadhani CCM inabidi kwenye elimu wafanye kitu, maana hata hizi Taasisi za teknolojia sidhani kama zinafundisha watu kuvumbua vitu vipya
duuu kama nimepotea vile.......nisaidieni
Khaaaaaa!!!!!!!!!!Pia somo la metaphysicotheo-logico-cosmolo- nigology lipewe kipaumbele.
Mimi nahisi ni by sublimation kabisa maana solid-to-vapor-to-solid no liquid!... element inayo latent heat yake ya vaporization, wataokofika mwisho ni pure elements!.
Paskali
Kwa nini usijiite ANDREW VIROBA au Andrew Pogba..kuliko kulifedhehesha jina la NYERERE..?
Pita pembeni, akili yako haitoshi kuwa hapa
wenzako tunaviziavizia tunapoona post za huyu baba
Andrew labda metaphysics, na aliyepo sio porofesa wa Fizikia bali ni wa Kemia, na anachofanya sasa ni kusafisha nchi kwa kutumia fractional distillation kwa kuichemsha kwa different boiling points kwa sababu kila element inayo latent heat yake ya vaporization, wataokofika mwisho ni pure elements!.
Paskali