PostGE2025 Watanzania tuikatae tume iliyoundwa kuchunguza vifo vya ndugu zetu. Tusikubali matokeo yake kama tulivyokataa matokeo ya uchaguzi 2025

PostGE2025 Watanzania tuikatae tume iliyoundwa kuchunguza vifo vya ndugu zetu. Tusikubali matokeo yake kama tulivyokataa matokeo ya uchaguzi 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Bila hata aibu anasimama na kujitapa nilipata 98% sababu CHADEMA ya Lissu haikushiriki uchaguzi!

Hata kama madaraka ya uraisi ni matamu ndio kwa uongo huu! Watu hawakujitokeza kabisa kupiga kula hata Mungu shahidi hiyo mil 31 ya wapiga kura inatoka wapi?

Haya watu wameuwawa kisa tu wameimba hawakutaki wanauwawa watu hadi majumbani kwao hii ni dhuluma ya uhai wa watu kwa ajili ya madaraka.

Alafu unaunda tume ya watu wako. Wote kuanzia Jaji Chande mpaka wajumbe wote ni watu wa CCM .

Kwa mantiki hii hii tume ni huru?

Watanzania hawayatambui matokeo ya Oktoba 29.

Na hawatayatambua matokeo ya tume hii ya upande mmoja kama ya jaji Mwambegete.
 
Nadhani matokeo ya Uchunguzi aliyatoa Sa100 mwenje hotuba yake iliyojaa malalamiko,jaziba na mipasho!
Alileza vijana walihongwa,walitaka kupindua dola,tunaonewa wivu kwa sababu ya raslimali zetu,nk
Yaani hapo aliibatilisha tume yake yeye mwenyewe!
 
Usipoikubali utalazimishwa kuikubali.
 
Back
Top Bottom