net huwa aizingui ni kutokana setting zako kwenye password unaweka 1111Saiz nao wanazingua net yao
Samahani mkuu, naomba nielekeze vizuri hapo inawezekana mi ndio nakoseanet huwa aizingui ni kutokana setting zako kwenye password unaweka 1111
Vodacom n mtandao wenye gharama za chin na Huduma bora kwa sasa Tanzania, angalia package za vifurushi vyake n bei cheee *yaKwako2*halotel kwasasa ndo mtandao unaondena na maisha ya watanzania...vifurushi vyao vinaridhisha siyo vya kinyonyaji kama vya mitandao mingine...
kwale wenzangu na mimi tunaotumia mtandao wa vodacom tujitathimini upya kwani nahisi kama tunanyonywa zaidi.kwa ufupi vodacom ni ile ile..tumeipenda wenyewe acha tuisome namba...ila mimi nahamia Halotel kuanzia leo
kwa hiyo jk na pinda wameamua nao kuingia kwenye ushindani na lowasa na rostamhalotel kwasasa ndo mtandao unaondena na maisha ya watanzania...vifurushi vyao vinaridhisha siyo vya kinyonyaji kama vya mitandao mingine...
kwale wenzangu na mimi tunaotumia mtandao wa vodacom tujitathimini upya kwani nahisi kama tunanyonywa zaidi.kwa ufupi vodacom ni ile ile..tumeipenda wenyewe acha tuisome namba...ila mimi nahamia Halotel kuanzia leo
nenda setting ingiaSamahani mkuu, naomba nielekeze vizuri hapo inawezekana mi ndio nakosea