Watanzania tubadilike

fundibaskeli

Member
Nov 9, 2016
84
115
Juzi kuna rafki angu kaja dukan kwangu nimkopeshe simu atanilipa mwisho wa mwezi....nikamtolea mbavuni......leo nmemkuta kwenye duka la rafki yangu ananunua simu kwa hela cash Na alivo niona wala hata hakuona aibu...... Jaman...jaman wabongo tubadilike
 
Back
Top Bottom