Watanzania tuamke usingizini na tuseme sasa basi

watanzania sisi ni watu wa kulalamika ila kuthubutu hatuwezi

Tumeshajua kuwa sisi ni watu wa kulalamika, nini kimafanyika kuanzia n awewe kubadiliha hii hali? au tuendelee kulalamika kuwa watanzania ni watu wa kulalamika?
 
Tumeshajua kuwa sisi ni watu wa kulalamika, nini kimafanyika kuanzia n awewe kubadiliha hii hali? au tuendelee kulalamika kuwa watanzania ni watu wa kulalamika?
tukitoka kuandamana tunananyooshewa vidole as if sisi tunaishi rwanda hatustahili kudai haki zetu
 
Ni kama vile pesa za Escrow hazikuwa na mwenyewe, watu wakaanza kugawa tu! huku hospitali zikikosa dawa, akina mama wakijifungulia sakafuni, wanalala watu 4 kitanda kimoja, bei ya Umeme ilipanda mwaka mwanzoni hapo watu tuliongea sana lakini si waziri wala katibu aliyetoa ufafanuzi kumbe wajanja walishachukua chao mapema toka mwaka jana mwishoni hadi mwanzoni mwa mwaka huu.

Nauliza, najua kila mtanzania ana wajibu lakini hadi kufikia sh. 321 bilioni zinachukuliwa hao watanzania wenzetu huko walikuwa wapi?

Ni nani aliidhinisha fedha za umma zitoke au nani alijulishwa au nani alihusika moja kwa moja? Je, Ni Rais, Waziri Mkuu, Hazina, Mwanasheria mkuu wa serikali, waziri wa Nishati na madini au Katibu mkuu wake?


Najiuliza, ina maana Rais hakujua?
 
Mkuu Ambamba wananchi na serikali kwa jumla wana mamlaka ya kulinda rasmali zotee.....Sema serikali imekuwa ikiiba au kutumia rasimali hizo vibaya kwa kutumia ufinyu wa uelewa wa wananchi hao ukichagizwa na upole wao ulio na hofu ndani yake. Shime shime watanzania tujiandikishe kwa wingi na tukafanye uamuzi kwenye ballot box kuonesha hasira zetu kwa maharamia hawa (CCM na Serikali Yao)
 

Kwani mkataba wa IPTL ulikuwa wa kutoa umeme wa bure? aka sadaka?
 

Actually, hilo ndilo neno!
 
Wala usiwe na wasi nchi itasimama hiyo 26 Nov. Watubhawoteenda makazi wala ma offisini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…