Mantuntunu
Senior Member
- Nov 1, 2010
- 137
- 16
​Naomba nianze kwa kuwashukuru wapinzani na wanaharakati wengine ambao wamekuwa mstari wa mbele katika kutujuvya maovu na ufisadi mwingi ambao umekuwa ukijitokeza Mara kwa Mara, Kuanzia old IPTL ya kina Chenge mpaka Escrow, Kiwira, Epa, mabilioni ya Uswiss, radar, Richmond, n.k. Lakini inakatisha tamaa kuona watanzania hakuna lolote tunalolifanya zaidi ya kulalamika kwenye mitandao, when are going to Say enough is enough???? Wakati ndio huu aw kufanya maamuzi magumu
Hawa viongozi wanafanya wanavyotaka kwa sababu wana watz hakuna lolote tutakalofanya, we are sitting back and let them do what ever they want to do, hii Escrow ndo imeua kabisa.
Mimi ni mmojawapo wanaoamini kuwa mtu mkubwa anajua sana na amehusika kwa namna moja au nyingine kuruhusu Escow na hili halina ubishi. The question is what are going to do about it??
Mimi nasema hili, kuwawajibisha waliohusika sawa lakini hivi mnategemea kutakuwepo na jipya? Hakuna lolote na mmeishaona mifano. Dawa Yao ni kuiondoa hii sirikali madarakani it has proven failure mara zote. Let's take them out of the office, NDUGU ZETU POLISI MLIOZOEA KUPIGA NA KUUA WATU njooni tuungane na tuseme BASI, ninaamini kabisa kuwa hata nyie haya yanayofanyika hamyapendi.
TANZANIANS LETS SAY ENOUGH IS ENOUGH ..! TIME IS NOW, LETS NOT BE COWARDS..!
Nikweli lakini nivizuri unge dadavua lengo hasa la uzi huu kama tuingie barabarani na kuandamana au? Na kama tukiandamana tuanzie wapi na tumalizie wapi
Nakama tukiandamana tumejipanga vp na Policcm
Kiukweli mm niko tayari kuanzisha maandamano yoyote yale yanayopinga ufisadi na niko tayari kwa lolote kufa au kupona
Kwani watakaoumia zaidi ni sisi na vizazi vijavyo.
Mfano upo Burikana Faso copy n paste.....wasipomtoa Mhongo/werema mkamchomoe dodoma mjengoni....
Ukawa ni wajinga sana. Wakija kushtuka uchaguzi wa serikali za mitaa wameshindwa vibaya na sakata la escrow limeisha.