Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Jamani,sisi waTanzania wengi wetu n wavivu sana wa kusoma habari, makala, connections za kisiasa, kijamii na kiuchumi za ndani na nje ya nchi.Tumwekuwa watu wa kusoma vichwa vya habari tu.
Duniani kila sekunde, kila saa kuna updates nzuri sana za kiuchumi,kiutamaduni na kijamii zinatokea na ambazo n muhimu sana hasa kwa sisi tunaoendelea,ambao huwa hatufiki tu.
Unakuta mtu ananunua gazeti la MWANANCHI, NIPASHE,THE GARDIAN nk anabakia kusoma tu ukurasa wa kwanza, wa pili na kuangalia vibonzo.Hatufiki jamani.
Wahariri wetu wa vyombo vya habari wapo vzr sana,wapo connected mno kimataifa,lakini sisi dah.Mtu anapekua tu MUUNGANO BLOG, Ayo Blog na kutokomea.Hatuma utamaduni wa kusoma vitu kwa undani mkubwa na kuvitumia kutatua matatizo yetu hasa ya kiuchumi.
Kuna jamaa mmoja aliwaji kunaimbia:
"Naomba uwe unanirushia vichwa vya magazeti vya kila siku".
Tukifunze kusoma jamani na tuwe na connections na tuwe connected,Dunia inakimbia hii.