Mleta post ukiambiwa uchague kuandamana mbele ya ak47 au juu ya kifua cha mrembo utachagua nini?Huu ndio ukweli , tungekuwa uoga huo tumeuelekeza kwenye kuiogopa ngono zembe na uashetati ingekuwa safi sana, maambukizi ya magonjwa ya ngono yasingekuwepo miongoni mwa vijana wetu
Lakini cha ajabu ukimwi unamaliza vijana na wala hawonekani kuujali wala kuogopa.
Unaogopa kufa kwenye maandamano halafu unaenda kufa kwa ngoma, halafu demu mwenyewe anayekupa ngoma mbayaaaaaa bora hata angekuwa demu mwenyewe mkali, sasa si bora ungekufa tu kwenye maandamano ya UKUTA kidogo tungekuita mhanga shujaa
Na hii imeshuhudiwa juzi tu hapa , jamaa alimwambia kijana mwenzake twende kwenye maandamano wakati wa sakata la udsm vijana wakawa wanasikika wanaambiana tuende tukaandamane ili tuvunjwe viuno,
Hao ndio vijana wa kitanzania, wa naogopa kuvunjwa viuno kwenye maandamano lakini hawaogopi kuvunja viuno kwenye vifua vya wadada
Wewe mbona unaogopa pia? Ya nini kulaumu wengine?Huu ndio ukweli , tungekuwa uoga huo tumeuelekeza kwenye kuiogopa ngono zembe na uashetati ingekuwa safi sana, maambukizi ya magonjwa ya ngono yasingekuwepo miongoni mwa vijana wetu
Lakini cha ajabu ukimwi unamaliza vijana na wala hawonekani kuujali wala kuogopa.
Unaogopa kufa kwenye maandamano halafu unaenda kufa kwa ngoma, halafu demu mwenyewe anayekupa ngoma mbayaaaaaa bora hata angekuwa demu mwenyewe mkali, sasa si bora ungekufa tu kwenye maandamano ya UKUTA kidogo tungekuita mhanga shujaa
Na hii imeshuhudiwa juzi tu hapa , jamaa alimwambia kijana mwenzake twende kwenye maandamano wakati wa sakata la udsm vijana wakawa wanasikika wanaambiana tuende tukaandamane ili tuvunjwe viuno,
Hao ndio vijana wa kitanzania, wa naogopa kuvunjwa viuno kwenye maandamano lakini hawaogopi kuvunja viuno kwenye vifua vya wadada
Kwa Nchi ambazo zimeendelea na Wananchi wananchi wana Elimu na Kazi pamoja na Vipato huwa wanasehemu tofauti tofauti za kukonga Mioyo yao , Mpirani au Kwenda kucheck Movie's au kwenye Matamasha ya Music nk..
Kwa Nchi kama Tanzania iliyokosa karibu yote hayo ,Starehe inayopatikana kwa urahisi ni ngono..
Elimu ingesaidia kujitambua ..
Jiwe kila kwenye Mikutano yake mifano ni ya uelekeo wa Kingono tu. Na ndiyo PhD..
Haki hupiganiwa na wanaojitambua.
Ni Kweli,Bro duniani kote ngono inapewa kipaumbele sana. Nenda kokote kule utaona.
Huu ndio ukweli , tungekuwa uoga huo tumeuelekeza kwenye kuiogopa ngono zembe na uashetati ingekuwa safi sana, maambukizi ya magonjwa ya ngono yasingekuwepo miongoni mwa vijana wetu
Lakini cha ajabu ukimwi unamaliza vijana na wala hawonekani kuujali wala kuogopa.
Unaogopa kufa kwenye maandamano halafu unaenda kufa kwa ngoma, halafu demu mwenyewe anayekupa ngoma mbayaaaaaa bora hata angekuwa demu mwenyewe mkali, sasa si bora ungekufa tu kwenye maandamano ya UKUTA kidogo tungekuita mhanga shujaa
Na hii imeshuhudiwa juzi tu hapa , jamaa alimwambia kijana mwenzake twende kwenye maandamano wakati wa sakata la udsm vijana wakawa wanasikika wanaambiana tuende tukaandamane ili tuvunjwe viuno,
Hao ndio vijana wa kitanzania, wa naogopa kuvunjwa viuno kwenye maandamano lakini hawaogopi kuvunja viuno kwenye vifua vya wadada
Ni Kweli,
Kwanini pamoja na kupewa kipaumbele wanaweza kudai haki zao hata kwa Maandamano?
Sisi tunashindwa wapi?
CCM wanakula huku tukiwashangilia,ndiyo maana wapo tayari hata kuua,kuteka na kuweka ndani wanaotishia madaraka yao.Tanzania hakuna class struggle. Hakuna kikundi au ethnic group ambayo inakula nchi. Mfano Kenya kunatokea maandamano kwa sababu kabila linalokula nchi linajulikana.
Kweli Tz tuna toleo la mwisho la binaadamu '3rd world grade citizen' kila jambo tumekosa starehe sufuri mwamko wa elimu hamna michezo hamna hata ngono zenyewe za kimasihara tu chafu na hatari mtu anae jitambua hawezi kufanya ngono za kizembe kama za watznia, mtu anagonoka na kicha na shanganzi wake na Mama ake Mdogo duh chafu sana kimwoyo na kiroho......hamna nchi yoyote hapa Africa mashariki raia wao watowe ushuhuda wanamna hiyo, ni Tz peke we jaribu uanzishe uzi kama huo kwenye mitandao ya Kenya au Uganda kama utapata comment zaidi ya 100 lakini hapa kwetu laki sita na......duh elimu elimu elimu Tz.Kwa Nchi ambazo zimeendelea na Wananchi wananchi wana Elimu na Kazi pamoja na Vipato huwa wanasehemu tofauti tofauti za kukonga Mioyo yao , Mpirani au Kwenda kucheck Movie's au kwenye Matamasha ya Music nk..
Kwa Nchi kama Tanzania iliyokosa karibu yote hayo ,Starehe inayopatikana kwa urahisi ni ngono..
Elimu ingesaidia kujitambua ..
Jiwe kila kwenye Mikutano yake mifano ni ya uelekeo wa Kingono tu. Na ndiyo PhD..
Haki hupiganiwa na wanaojitambua.
CCM wanakula huku tukiwashangilia,ndiyo maana wapo tayari hata kuua,kuteka na kuweka ndani wanaotishia madaraka yao.
Sijui wewe ameandika nini hapo au unamaanisha nini? kama unataka kujua kwamba watu hawapendi ccm wathubutu kuweka uchanguzi huru wa maoni kuuliza raia kama CCM iendelea au laWe are all part of CCM, in sense that all ethnic groups are the stakeholders of the party. It has the members from east west south north. Our politics are not polarised like other land.
Kuna kitu inaitwa probability... 1 = sure event... kwenye maandamano, lufuatwa na polisi ni sure event kwamba lazima itatokea.. kwenye ngono kama washiriki hawana ngoma hakuna atakayepata.... kwa hiyo ni fifty fifty...Huu ndio ukweli, tungekuwa uoga huo tumeuelekeza kwenye kuiogopa ngono zembe na uasherati ingekuwa safi sana, maambukizi ya magonjwa ya ngono yasingekuwepo miongoni mwa vijana wetu.
Lakini cha ajabu Ukimwi unamaliza vijana na wala hawonekani kuujali wala kuogopa.
Unaogopa kufa kwenye maandamano halafu unaenda kufa kwa ngoma, halafu demu mwenyewe anayekupa ngoma mbaya bora hata angekuwa demu mwenyewe mkali, sasa si bora ungekufa tu kwenye maandamano ya UKUTA kidogo tungekuita mhanga shujaa.
Na hii imeshuhudiwa juzi tu hapa , jamaa alimwambia kijana mwenzake twende kwenye maandamano wakati wa sakata la UDSM vijana wakawa wanasikika wanaambiana tuende tukaandamane ili tuvunjwe viuno.
Hao ndio vijana wa Kitanzania, wa naogopa kuvunjwa viuno kwenye maandamano lakini hawaogopi kuvunja viuno kwenye vifua vya wadada.
Sijui wewe ameandika nini hapo au unamaanisha nini? kama unataka kujua kwamba watu hawapendi ccm wathubutu kuweka uchanguzi huru wa maoni kuuliza raia kama CCM iendelea au la
Sent using Jamii Forums mobile app