[emoji3][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Watu wameandika alifika karibu saa tisa mchana akipungia waombolezaji. Walipoelekea kwenda mlango mkuu kuingia ndani walizuliwa. Akakaa nje na kukasirika kwanini hakuitwa aingie ndani kama kibosile.
Yeye na mama yake and co. Walikaa chini ya 30mins wakaondoka shughuli ikiendelea.
Waliingia Makonda akiwa anaongea.. wakasumbua watu nje kutosikia ya ndani.
Kwa hiyo hakusubiri kutoa pole kwa wafiwa, sembuse kumuaga Boss Ruge aliyemnyanyua kikazi.
Walitia aibu, as walienda 4 kiki tu basi.
Wakati wanaondoka walitimuliwa vumbi haswa na kuzomewa.
He is a wizard.
Ujumbe: Mapaparazi uchwara wa mitandaoni.. wajifunze kuheshimu misiba ya watu.
Ukweli mtupu!Huwezi kuwa mshindi kwa kumpiga adui yako aiwa amekufa, huyu jamaa atajutia maisha yake yote upuuzi wa kumfedhehesha Ruge akiwa hai, pesa imemvimbisha kichwa.. Ruge ni mshindi maana hakuwahi kujibu upuuzi wowote wala kushindana na ujinga aliendelea kuchapa kazi.
Ohooo!kumbe kazuiliwa ila wapo waliochelewa wakaaga pia maiti!!!Inawezekana alizuiwa lakini sio kwa sababu zinazotajwa Instagram bali ni protokali za kiserikali! Diamond alichelewa kufika Karemjee bila kujali sababu za kuchelewa kwake! Kiprotokali, haiwezekani Rais wa Nchi aage mwili halafu baadae atokee mtu mwingine akaage; hiyo itakuwa ni kufanya atakayekuja baada ya Rais ndie boss mweneyewe! Ni kama unavyoona pale Taifa! Viongozi wooooooooote, wanaingia ndipo the Man Himself anaingia!
Kuaga baada ya Rais kuwa ameshaaga? Labda wakati Rais ameshaondoka lakini sio wakati yupo pale pale!! Hizo ni protocol za kiserikali Ray!
Asante, na pole sana.na wewe mpumbav tu ku.ma.nyo.ko
Japo walipata siti but jua liliwapiga hasa!Naskia kazuiwa kuaga Jana [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wahaya sio waspoti spoti!!!unawaletea nyodo mababa wa nyodo!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzako kashindwa kutujibu! Wewe unayemuunga mkono unaweza kutueleza Diamond alimdhalilisha nini Ruge?!
Hivi nyie watu hizi habari za Ruge kumnyanyua Diamond kimuziki mmezitoa wapi?! Kama alikuwa na huo uwezo, kwanini hakuwanyanyua wasanii wa THT? Barnaba yule pale, bonge la mwanamuziki, mbona hakumnyanyua kufikia level za Diamond? Btw, kama leo hii mnatuambia Diamond alinyanyuliwa naRuge, Papa Misifa aseme nini?!Watu wameandika alifika karibu saa tisa mchana akipungia waombolezaji. Walipoelekea kwenda mlango mkuu kuingia ndani walizuliwa. Akakaa nje na kukasirika kwanini hakuitwa aingie ndani kama kibosile.
Yeye na mama yake and co. Walikaa chini ya 30mins wakaondoka shughuli ikiendelea.
Waliingia Makonda akiwa anaongea.. wakasumbua watu nje kutosikia ya ndani.
Kwa hiyo hakusubiri kutoa pole kwa wafiwa, sembuse kumuaga Boss Ruge aliyemnyanyua kikazi.
Walitia aibu, as walienda 4 kiki tu basi.
Wakati wanaondoka walitimuliwa vumbi haswa na kuzomewa.
He is a wizard.
Ujumbe: Mapaparazi uchwara wa mitandaoni.. wajifunze kuheshimu misiba ya watu.
Unasema ukweli mkuu.....yaan ilikuwa ni aibu!...Watu wameandika alifika karibu saa tisa mchana akipungia waombolezaji. Walipoelekea kwenda mlango mkuu kuingia ndani walizuliwa. Akakaa nje na kukasirika kwanini hakuitwa aingie ndani kama kibosile.
Yeye na mama yake and co. Walikaa chini ya 30mins wakaondoka shughuli ikiendelea.
Waliingia Makonda akiwa anaongea.. wakasumbua watu nje kutosikia ya ndani.
Kwa hiyo hakusubiri kutoa pole kwa wafiwa, sembuse kumuaga Boss Ruge aliyemnyanyua kikazi.
Walitia aibu, as walienda 4 kiki tu basi.
Wakati wanaondoka walitimuliwa vumbi haswa na kuzomewa.
He is a wizard.
Ujumbe: Mapaparazi uchwara wa mitandaoni.. wajifunze kuheshimu misiba ya watu.
Akikujibu, ni-tag manake hili ndo nalisikia kwa mara ya kwanza leo!
Diamond alikuja wakati Rais kaishaondoka!Kuaga baada ya Rais kuwa ameshaaga? Labda wakati Rais ameshaondoka lakini sio wakati yupo pale pale!! Hizo ni protocol za kiserikali Ray!
Papa misifa na Bob Junior ndio waliomtoa Diamond ,Diamond alikataliwa THT.Domo anajisikia mno, Ruge ndiye aliyemtoa kwenye biashara ya mitumba hadi kuwa maarufu
Mbona umeshajibiwa? Au unataka majibu kutoka Pluto?Mwenzako kashindwa kutujibu! Wewe unayemuunga mkono unaweza kutueleza Diamond alimdhalilisha nini Ruge?!
Swali langu ni kuhusu Diamond kuwahi kumdhalilisha Ruge! Mbona unabadili magoli?Diamond alikuja wakati Rais kaishaondoka!
Kwahiyo mandate ya shughuli ilirudi kwa CMG, hivyo kuzuiliwa kwake hakuna uhusiano na protocol ya uwepo was Rais
Mbona Mzee Mengi aliruhusiwa kuingia na kuaga + speech, without the presence of President?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu! Swali nililokuuliza ni hili hapa:-
Onesha hilo jibu lako unalosema ulishajibu, au walishajibu!Mwenzako kashindwa kutujibu! Wewe unayemuunga mkono unaweza kutueleza Diamond alimdhalilisha nini Ruge?!
mjinga huyo mtotoSi huyo wala wenzake wanaoweza kujibu!!! Jamaa alivyo kituko, katika kujibu hilo swali akadai eti Diamond ali-post picha Instagram akicheka baada ya Fiesta kuzuiwa!!!! Yaani bure kabisa!!
umesahau Clouds ndio walionza ***** chiko kupitia kwa Soudy ambaye alimtukana sana Diamond na hata kuwashirikisha wazazi wake lakini jamaa alipiga moyo konde aliposhindwa na yeye akaanza kujibu mapigo tena sio matusi bali ni slogab kama hawaamini wa wanachokiona,sanaa imezaliwa upya,Mond hajawahi kumtusi Ruge wala mtu yoyote wa Clouds zaidi ya kuwachalenji kibiashara.....chuki sio nzuri kwa afya ya akili na mwili...bahati mbaya unaemchukia hakujui.Matendo yake hata maneno aliyokuwa anayarusha kwenye mitandao, na wakati clouds wamefungiwa fiesta yeye alikuwa anafanya onesho la wasafi alirusha clip instagram akicheka kicheko cha kebehi wenye akili walielewa alichokuwa anafanya.
Tena bora tungebaki na flag ya umbeya kwa sababu mbeya huwa anasema ukweli, analaaniwa kwa sababu hakutumwa kuusema huo ukweli zaidi ya kiherehere chake! Kinyume chake, Watanzania tumekuwa wazushi na wafitini kweli kweli! Mbaya zaidi, tumekuwa ni watu wenye husuda hadi shetani mwenyewe anatuogopa!! Na watu walivyo wanafiki, hao hao wanaosakama Diamond kwa ajili ya Ruge, ndio hao hao waliokuwa wanamsakama Ruge kipindi cha uhai wake!!Tunashika namba wani duniani kwa umbea. Tena na hii mitandao sasa ndo kabisaaa...
Ukweli huo wenyewe ndio huo! Hamna la ziada zaidi ya chuki! Ndio maana hata wale wanaosema Diamond alimdhalilisha Ruge; nimewauliza hapa alimdhalilisha nini; hakuna aliyejibu hata mmoja na wote wamekimbia!Nilikuwa siyo mfatiliaji wa haya mambo ila nimegundua kuna baadhi ya watu wanamchukia diamond sababu ya mafanikio yake na hii ndiyo identity ya kitanzania kuchukia wenye mafanikio
Sent using Jamii Forums mobile app