hapa nimekukubali linaweza kuwa msg yangu nzuri ya kuingia nayo machi kupambana na changamotoThe Future is in Our Brain,Tongue's&Hand's.
Aende mbinguni kwa kipi?kwani uyo diamond asipo post RIP ndio kwamba uyo ruge hata enda mbinguni kwan diamond ni mungu acheni mada za diamond kila time maana huyo diamond hana tofaut na binadamu wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo unataka diamond apost mtandaon msimamo wake? Au akufate wewe akwambie mambo yake?? Kwan lazm? Kufanya hivo... Hii inaonyesha diamond ni mkubwa kuliko rugeWatu mbona mnakuwa wajinga!?? Huwezi kulinganisha huyo fala unayemtetea mwenye bifu na Baba yake mzazi unamlinganisha na Jide!??. We umeona hapa tu,subiri hata siku akifa Baba yake na siku akifa yy ndo utajua km watanzania ni wanafiki au hapana.
Jide alishasema msimamo wake kuhusu Ruge rip na Jose kusaga. Na alitoa msimamo huo tangu 2013 na thread yake ipo hapa jf. Na alishasema hata yy akifa,mbali na kutohudhuria msiba wake,hata nyimbo zake tu,clouds wasipige kabisaa wakati wa msiba wake. Na ameturuhusu tukimuona Jose kusaga au Ruge R.I.P. kwenye msiba wake tuwapopoe mawe.
Hebu tuonyeshe hapa msimamo wa diamond kuhusu Ruge...na Jose kusaga. Diamond ndo mnafiki,anamchukia Ruge wakati anashirikiana na kusaga,hv Ruge kuna kitu alikuwa anafanya bila kusaga kujua!?? Ndo maana jide kawataja wote tena kwa majina. Usimlinganishe Jide na vitu vya kijinga bhaana!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ruge aliejifanya mungu mtu mwisho wa siku yuko wapi? alifanya yake kwa wenzie enzi za uhai wake,,acha na upande ulioumia ufanye yao punguza povukwani uyo diamond asipo post RIP ndio kwamba uyo ruge hata enda mbinguni kwan diamond ni mungu acheni mada za diamond kila time maana huyo diamond hana tofaut na binadamu wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu mbona mnakuwa wajinga!?? Huwezi kulinganisha huyo fala unayemtetea mwenye bifu na Baba yake mzazi unamlinganisha na Jide!??. We umeona hapa tu,subiri hata siku akifa Baba yake na siku akifa yy ndo utajua km watanzania ni wanafiki au hapana.
Jide alishasema msimamo wake kuhusu Ruge rip na Jose kusaga. Na alitoa msimamo huo tangu 2013 na thread yake ipo hapa jf. Na alishasema hata yy akifa,mbali na kutohudhuria msiba wake,hata nyimbo zake tu,clouds wasipige kabisaa wakati wa msiba wake. Na ameturuhusu tukimuona Jose kusaga au Ruge R.I.P. kwenye msiba wake tuwapopoe mawe.
Hebu tuonyeshe hapa msimamo wa diamond kuhusu Ruge...na Jose kusaga. Diamond ndo mnafiki,anamchukia Ruge wakati anashirikiana na kusaga,hv Ruge kuna kitu alikuwa anafanya bila kusaga kujua!?? Ndo maana jide kawataja wote tena kwa majina. Usimlinganishe Jide na vitu vya kijinga bhaana!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha mbinguni tena "!? My foot !!!kwani uyo diamond asipo post RIP ndio kwamba uyo ruge hata enda mbinguni kwan diamond ni mungu acheni mada za diamond kila time maana huyo diamond hana tofaut na binadamu wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeona mkuu.Ruge licha ya kunyanyasa wasanii wa kike kingono ila jamaa alijitahidi sana kuua vipaji vya wasanii wengi hapa nchini, nashangaa leo amekufa watanzania wanajifanya wana huzuni na kumfananisha na hero wa nchi wakati he is none of that. Huu ni unafiki wa hali ya juu sana.
Ishu ya baba yake ni la kifamilia zaidi.Watu mbona mnakuwa wajinga!?? Huwezi kulinganisha huyo fala unayemtetea mwenye bifu na Baba yake mzazi unamlinganisha na Jide!??. We umeona hapa tu,subiri hata siku akifa Baba yake na siku akifa yy ndo utajua km watanzania ni wanafiki au hapana.