Watanzania ni noma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania ni noma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Landala, May 19, 2011.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Nimeangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku ya Itv,kwenye swali la kipima joto la jana usiku waliuliza je wananchi kumpiga mbunge wao ndo suluhisho la kutatuliwa matatizo yao?huwezi amini matokeo ya waliopiga kura,waliosema NDIYO ni asilimia 71 na waliosema HAPANA ni asilimia 26 na waliosema hawajui ni asilimia 3.Kutokana na matokeo hayo ya kipima joto ni wazi baadhi ya watanzania wanaunga mkono kupigwa kwa mbunge wao kama ambavyo wananchi wa Tarime walivyoamua kumpiga mbunge wao Nyambari Nyangwine wa ccm.
   
 2. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Ningependa wanaosema CDM ni wagomvi na haikubaliki warudie tena kauli hiyo.
   
 3. U

  Ugweno Member

  #3
  May 19, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na mimi nimeoona,ni noma!
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  tumechoka na hawa magamba! cast them out!
   
 5. sajosojo

  sajosojo JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2011
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  mh kwa kweli tunakoelekea ni lazima serikali ijiulize mara mbili ni kipi kilichomkuta huyu mtanzania mtulivu na mwenye amani la sivyo soon itakuwa ni zaidi ya kumpiga mbunge
   
 6. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kama mbunge alikuwa anapiga siasa za magamba lazima apigwe nawaunga mkono asilimia mia hii itawashikisha adabu hao na magamba yao nisikie mtu anasema CDM wamehusika nyiooo namtoa kamasi!!!
   
 7. Papa D

  Papa D JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  I don't support any kind of fighting!
  Beating another human in any form is unacceptable!
  Its much better to hold peaceful demonstration than rising a finger to another human being!!!
  Anyhow it was unreasonable for the MP to visit that area especially for the fact that ALICHAKACHUA MATOKEO!!
   
 8. B

  Blessing JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na kweli warudie tena wataona kitemaukuni. Washenji sana. Cdm kiboko chao wajaribu kauli yao chafu waone.
   
 9. B

  Blessing JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The reason of them illitrate Police / FFU beating mwana Tanzania wenzanke ni kukosa AKILI. Demonstration is every HUMAN'S right. The reason of all this is because CCM is not confident of the Presidency kwa sababu the votes were stollen na JK anajua kwa Rais sio zake. MOTO IMCHOME KABISA KWENYE HIYO KITI CHA RAISI ANAUFURAHI. MUIZI MKUBWA HUYO JK NA ATAKOSA RAHA MILELE
   
 10. mkibunga

  mkibunga Senior Member

  #10
  May 19, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kagasheki waziri amejidhalilisha kutoa majibu kisiasa badala kiserikali yeye anawaona wakurya ni wajinga wasiojua ujinga wa serikali anabahati wakurya vijana hawapigi vizee kama yeye vinginevyo naye akienda atapata yeye anaweka petroli kwenye moto
   
Loading...