ntugwa12
Member
- Aug 7, 2016
- 85
- 34
Habari wadau, Leo nimejitokeza ktk uwanja huu kuweza kuwasilisha maoni yangu dhidi ya hali yetu watz jinsi tunavyochukulia vitu/mambo
Mosi, kama headline inavyosomeka ,sisi watz n debe shinda,hivyo tukitiswa ,lazma tuangue kelele zisizo na mantiki!
Unajua kwanini nimesema hivi?
Mwanzoni mwa huu wananchi wengi walikuwa wakilalamikia njaa na ukame takribani nchi nzima, lkn kukatokea songombingo ya kukanusha suala hilo hatimae akaingia faru John, na hiyo ndo ikawa habari ya mujini!
Faru john akaendeleaaaaaa, suala la njaa likawekwa kapuni!
Na vyombo vya habari navyo vikafuata upepo, kwa kuw tu vipo kwa ajili ya kuuza na kuji adverse kwa umma.
Mar hoo kupotea kwa Ben saanane, nayo ikapiga kiki kinoma!
Mambo yote haya yanaenda huku na ss watz tukiwa tunafuata upepo tu na hatuoneshi reactions zetu.
Mbaya zaidi mpk mkurungezi wa jf ofc zake zilivamiwa na yy kusota rumande kwa muda. Hii yote imetokea Tz hii hii sehem ambapo inasemekana ndipo kitovu cha amani!
Madawa ya kulevya na bashite nayo n hot song iliyodumu kutamba kwa muda, kitu kilichopolelekea kwa baadhi ya vyomb vya habari kutumika kama kipashio cha haya!
Sivilaumu vyombo vya habari na social media, kwan moja kat ya jukum kubwa la vyombo vya hbr n kuwapasha habari (lkn iliyo balanced ), kitu ambacho kwenye sakat la madawa ya kulevya vyombo vya habari vingi havikuzingatia hilo, watu walichafuliwa na hawajasafishwa mpk Leo! Reputation ya watu imechufuka!
Binafsi siingilii kati kinachoendelea mitandaoni baina ya gwajima na RC, na sitakiongoongelea Leo!
Naelekea kwenye sakata la rc na uvamizi wa CMG, bila kificho wala kung'ata maneno hapo mh alikosea sana, kwa busara tunamwomba ajitokeze aombe radhi tu, no one perfect, kuwa kiongozi wa umma, sio kinga ya kuwa MTU msafi na usiyekosea! La hasha, anatakiwa aje aombe radhi na maisha yaendelee!
Najua kuna matamko mengi yametolewa na viongozi mbalimbali dhidi ya suala hili, lkn na huenda kusiwe na caution yyte kwa aliyetenda kosa hili.
Ila watanzania tuacheni tabia za kuwa tunalialia punde tunapoguswa, tunatakiwa kuonesha misimamo yetu kwa kulaani kitendo chochote kinachoenda kinyume na katiba, kumbukini nchi hii inaongozwa na sheria, hivyo hakuna aliyejuu ya sheria!
Tusiyumbishwe na kauli za kutaka kutukata maini! Let's be stronger!