Watanzania neema inakuja

Ni uhalisia tunaoutarajia mda mchache ujao baada ya mambo kukamilika
Mlishawahi kutarajia mazuri zaidi ya haya ila hamkupata mlichotarajia zaidi ya maumivu. Kuna zile Noah zenu mshapewa tayari?
Hizo NEEMA mnazotarajia kupitia nchi jirani, mtambue nyinyi sio nchi pekee yenye Bandari, Kenya wanaweza pia kurahisisha mambo wakahudumia nchi za Rwanda, Uganda na Burundi, Beira inaweza kuleta ufanisi ikalisha Zambia, Malawi na Lubumbashi na Harare.
NDIO maana DP WORLD wameweka vipengele vigumu kuvunja au kushtakiwa msipofikia matarajio/ underperformance walijua fika kabisa Kenya hawajalala na wana akili timamu kuwazidi CCM na misukuke yao.
Nakata nikuhakikishie, kwa akili za CCM hamtakuwa na Bandari yenye ufanisi mkubwa kuzidi Bandari za Mombasa,Malindi na Beira, kwahiyo hilo soko mnalotarajia mnaenda kupata robo yake tu tena kwa hasara.
 
Tatizo la watu wengi ni kutokuangalia mambo kwa ujumla wake yaani wanaangalia equation upande mmoja tu...

Siongelei pro and cons za hii issue ya badari bali naongelea statement yako moja tu.... (mizigo itakuja mingi kwa gharama nafuu na hivyo kupunguzia watu gharama ya kununua)

Kama ni hizi junks zikija na zikawa gharama nafuu; huenda isiwe tiba (sababu watu bado buying power yao ni ndogo) na huenda ikapungua zaidi sababu watashindwa kuuza hata yale matikikiti yao, nyanya na maembe yao sababu yaliyotoka nje yatawatoa sokoni hence vipato vyao kupungua kushindwa kununua hata hizo junks...

Nadhani tungefurahia zaidi na kujiuziliza ni vipi yetu mingi yetu mingi itaweza kwenda huko na kwa urahisi..., Ila na ule Mikataba na European Union (EPAs) ambayo kama haijasainiwa am sure hawa walamba asali wata-sign nachelea kusema tutaendelea kuwa wachuuzi na wanunuzi wa mali na sisi kuwapa watu raw materials

Moral of this Post: Things are not black or white
 
Unakwenda kuneemeka kwa kontena zipi unazoagiza?
 
Nikuhakikishie mkuu hili jambo linefanyika kitaalam kwa uangalifu wa vyombo vyetu vyote vinavyohusika India shaka kabisa mambo mazuri soon tutayashudia
 
Hata kuwauzia raw materials Bado tutapiga hatua mkuu kwani itakapokia wanahitaji malighafi nyingi tutaweka bei zinazotulipa
 
Nikuhakikishie mkuu hili jambo linefanyika kitaalam kwa uangalifu wa vyombo vyetu vyote vinavyohusika India shaka kabisa mambo mazuri soon tutayashudia
Unge elekeza kiundani zaidi inakua rahisi kuamini apo inakua ni ahadi kama ahadi nyingine tu
 
Sheria na utaratibu utaboreshwa zaidi Ili kuendana na mahitaji
Asante mama, kama ni wewe wa kwenye Avatar yako, ninaamini nia yako ya mabadiliko. Niliwahi kuwaza ,kilichoifanya Dubai kufikia maendeleo hayo kwa muda mfupi ni kujifanya bandari Yao kuwa FREE PORT. Nikajiuliza mbona sisi tuna bandari mbona tunajiwekea masheria magumu? Kuna nani anatupangia kujifanya au kutoifanya bandari yetu free port?
 
Samahani sana mtoa mada wewe ni pompoma
 
Hata kuwauzia raw materials Bado tutapiga hatua mkuu kwani itakapokia wanahitaji malighafi nyingi tutaweka bei zinazotulipa
Aisee !!!

Ghana inalima Cocoa ya kufa mtu, ni vema kwao kutengeneza chocolate ili wauze hizo Europe kuliko kuuza Cocoa lakini ukweli ni kwamba mikataba ya EPA inaruhusu chocolate kutoka nje kuingia Ghana bila shida yoyote na Ghana ikitaka kufanya hivyo itaambiwa quality yake ni duni, hivyo kuendelea kuwa muuzaji wa cocoa..., mfano huo unaweza kuupeleka kwenye korosho au chochote kile unakachosema..

The trade is not fair and marginalization is still real....
 
Ghana Wana sheria zao na sisi tuna sheria na taratibu zetu
 
Mbona uko peke yako?
Ebu soma maoni ya watu kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…