Watanzania neema inakuja

Mnampango m-baya na wanachi wanaoishi maeneo ya kigamboni

George bush na mji wa kigamboni

mkataba umekuja kivingine

Vijibweni ,mjimwema ,kibada na maeneo mengine jiangeni kwenda kuishi kisarawe two
Haya maeneo uliyoyataja ndio yatakuwa wafaidika wa huu uwekezaji mkubwa na mzuri sana mkuu
 
Nyie mnaokuja hapa na mada ya dude lenu kulipamba , wakati ni la kipumbavu , ipo siku sio zenu mtakufa midomo ikiwa wazi , na limkataba lenu la kipumbavu

Huwezi shindana roho za watu m 60 ukabaki salama , nawambieni yanakuja makubwa ,asema Bwana tunza hii
 
Natamani kukutukana sema nimefunga, pole kwa akili ndogo.
 
V.A.T, import duty, inspection fee nk zitakuwa chini ya muwekezaji au Mamlaka za serikali? Kama ni muwekezaji maana yake atakuja na rate za chini kama ni TRA basi formula na calculator itabaki ile ile na bei ya vitu itabaki ile ile ila unafuu ni muda wa kuchukua mzigo utapungua pamoja na garama za kuhifadhi
 
Kabisa mkuu Kuna siku watalia na kusaga meno
 
Hatujapona maumivu ya gas kenge nyie mmeshatupiga tena kwenye mshono
 
Sheria na utaratibu utaboreshwa zaidi Ili kuendana na mahitaji
 
Mbwa kasoro mkia na mtia saini wa huo mkataba mmnatafuta jambo na mtalipata tu
 
Tutegemee??? Kwahiyo ni mategemeo na sio uhalisia? Mmelaniwa nyinyi sio bure
 
Unakatwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…