Tumeambiwa tusubiri makubaliano.Tuachane na Neema na faida zote tunazopata juu ya huu mkataba,,, naomba tujikite kwenye mda wa mkataba
DP World watafanya kazi kwa mda gani?
Shame on youMakubaliano juu ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari zetu ni goli la mbali alilofunga mama yetu raisi Samia.
Sasa mizigo itakuja kwa wingi na kwa haraka ambapo kutasaidia kupungua kwa gharama za bidhaa.
Mapato yetu yataongezeka kwa asilimia kubwa, watanzania wengi wataajiriwa , wataalamu wa kitanzania wataongezeka mara dufu.
Dp world ni wazoefu wa undeshaji wa bandari duniani kote SI wababaishaji, hivyo tutegemee faida kubwa
Kwa ufupi watanzania wote tunakwenda kuneemeka.
Hongera raisi wetu.
Vp kuhusu hii kauli ya waziri?Mda wa mkataba utajadiliwa kwenye mikataba midogo inayokuja soon,
Mimi TRA na Tanesco nitafurahi sana hata kura nitampa mama tu🤣Kama akiibinafsisha Na TRA mimi nitakuwa pamoja na mama
Lazima uwe punguani kuyaamini hayo.Makubaliano juu ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari zetu ni goli la mbali alilofunga mama yetu raisi Samia.
Sasa mizigo itakuja kwa wingi na kwa haraka ambapo kutasaidia kupungua kwa gharama za bidhaa.
Mapato yetu yataongezeka kwa asilimia kubwa, watanzania wengi wataajiriwa , wataalamu wa kitanzania wataongezeka mara dufu.
Dp world ni wazoefu wa undeshaji wa bandari duniani kote SI wababaishaji, hivyo tutegemee faida kubwa
Kwa ufupi watanzania wote tunakwenda kuneemeka.
Hongera raisi wetu.
Jinga mkubwa wewe, mbona bandari zenu za Zanzibar hazipo kwenye huo mkataba wa milele au nyie hamtaki faida?Makubaliano juu ya uendeshaji na uendelezaji wa bandari zetu ni goli la mbali alilofunga mama yetu raisi Samia.