Watanzania na Wageni Mlioko Afrika Kusini Anzeni Kufungasha Virago Kabla Hamjakumbwa na "Oparesheni Dundula"

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,115
49,835
Hakuna Nchi isiyo na wageni Duniani.

Hata ukienda Korea Kaskazini wageni wapo.

Na kwa sehemu kubwa, wageni wamekuwa ni chachu ya maendeleo kwa Nchi nyingi.

Nadhani hiko Chama wangejikita kuwa na Sera nzuri zaidi kuliko hizo, wangemwona hata Profesa Lipumba awape Sera za CUF wafanye kukopi

Afrika ni Moja, hakuna haja ya kuanza kuwabagua wengine.

Mbona hawawafukuzi Wazungu badala yake wamejikita kwa Waafrika Wenzao?
 
Endelea kujifariji mtanyooshwa tuu
 
Endelea kujifariji mtanyooshwa tuu
Watanyooshwa na nani? Hizo operesheni kwani zimeanza leo? Mara zote wanazianzisha na ukiona zimezimika ujue wageni wamejibu mapigo na huwa wanakiwasha kwelikweli wageni mpaka wazulu wenyewe wanatuliza makalio chini maana wageni wanaungana wote kuanzia wasomali, watanzania wanaijeria n. K,muda huo hawa wenzetu na sisi wanakuwa wachache na wengi havina nguvu maana sio wasouth wote wanawaunga mkono
 
Wageni wa wapi ambao wanajibu mapigo? Huwa mnarudisha maiti bongo unasema unajibu mapigo?

Endelea kukaza utaandika tuu kulalamika Ubalozi
 
Hakuna Nchi isiyo na wageni Duniani.

Hata ukienda Korea Kaskazini wageni wapo.

Na kwa sehemu kubwa, wageni wamekuwa ni chachu ya maendeleo kwa Nchi nyingi.

Nadhani hiko Chama wangejikita kuwa na Sera nzuri zaidi kuliko hizo, wangemwona hata Profesa Lipumba awape Sera za CUF wafanye kukopi

Afrika ni Moja, hakuna haja ya kuanza kuwabagua wengine.

Mbona hawawafukuzi Wazungu badala yake wamejikita kwa Waafrika Wenzao?
Ni kweli. Maendeleo hayaji kwa kumchukia mgeni. Marekani, wengi ni wageni lkn hawawafukuzi.
Wao wafanye kazi ili wawe na maendeleo. Wageni wakiondoka, maisha yao yatakuwa mazuri? Wa south Afrika hawana akili
 
Ni Ushauri tuu msije kusema hamkuambiwa.

Mwanadada Zandile Dabula Kiongozi wa Chama Cha Oparesheni Dundula amesema atawania Urais Kwenye Uchaguzi Mkuu wa Afrika Kusini na Moja ya sera kuu ya chama chama Chao ni kuwafurusha Wageni ambao anadai wamesababisha shida kubwa Nchini humo.

View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1704201269861073009?t=0JAWB_EfxAJ46a1NOS6sMw&s=19

Huyo hawezi kuwa hata katibu kata wa huko kwao. Halafu alivyo mbulula hajui hata geo politics
 
Wageni wa wapi ambao wanajibu mapigo? Huwa mnarudisha maiti bongo unasema unajibu mapigo?

Endelea kukaza utaandika tuu kulalamika Ubalozi
Hata South yenyewe hujawah kufika usikute halafu unakaza tako kubisha usichokijua! Sasa kurudisha maiti si ni jambo la kawaida? Kwani wao wasouth Hawafi? Au kwa population ya Wabongo waliopo South unadhani incidence ya vifo haitakuwepo? Mwaka 2019 mdogo wangu wa mtaani Gaza alichomwa kisu na mtanzania mwenzake na sio Msouth wala nini, na situation kama hizi huwa zinatokea Mbongo anaweza kumuua Msouth kwa wale wenzetu wanaofanya kazi chafu au Msouth anaweza kumuua mbongo au Mghana anaweza kumuua Msomali so ni kawaida tu..

Nenda kaulize hizi vurugu za Xenophobia ni kwa namna gani zinakoma, Vurugu za mwisho nilikuwa Jozi mtaa niliokuwepo Wasouth walikuwa wanazuia wageni kufungua maduka yao wageni wakatii kwa siku kama mbili hivi ila walipochoka wakaorganize strike maduka walifungua na wakauza kitemi na kikao cha mwisho cha hao Dundula wakiwa wanajiandaa kwenda kushambulia wageni walivamiwa uwanjani na wageni na wakachezea kichapo cha haja hakuna aliyebaki wote wakala kona, na operesheni ikaanzishwa ya kuingia nyumba moja moja ya Madundula kuwashikisha adabu.. Eti Wewe unakaa kijiweni unauzia chai wana unajikuta unajua sana operesheni Dundula
 
Ni kweli. Maendeleo hayaji kwa kumchukia mgeni. Marekani, wengi ni wageni lkn hawawafukuzi.
Wao wafanye kazi ili wawe na maendeleo. Wageni wakiondoka, maisha yao yatakuwa mazuri? Wa south Afrika hawana akili
Marekani inaruhusu Wageni wenye akili sio mandezi wanaosema eti wanaenda kuzamia sijui kutafuta maisha.

Huwa wakiyakamata wanayajaza kwenye concentration camps kabla ya kuwa deported.

Unadhani Trump alikuwa mjinga kujenga Ukuta mpakani Kwa Mexico?
 
Back
Top Bottom