Watanzania na Wafaransa tuna fanana tabia

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,788
Reaction score
5,027
Unajua tabia za Wafaransa na watanzania zina mfanano fulani hivi
Wafaransa ni watu fulani some time unaweza kusema hawanaga siriazi na maisha yaani ni watu ambao wana sapoti saana ujinga na niwatu ambao wanapenda utani saana kwa watu ambao wanaelewa Kifaransa watakubaliana na mimi
Wafaransa wana penda utani saana yaani kwao nao kila jambo ni jambo kukija hili atakama ni jambo la kuchukulia siriazi watalifanya liwe kama kituko fulani hivi
Kama ili jambo la Urusi na Ukraine macro alikuwa anatowa hotuba yake
Kuwambia Wafaransa kuwa wapo vitani na Urusi toka usiku uo watu walijaa mitandaoni kumtania raisi wao
Mpaka Nikasema Mmmm hii ndo democracy sasa yaani watu hawaoni uoga wa kumtania raisi tena azarani

Na ndivyo tulivyo watanzania sisi ni watu ambao Tuna penda utani mtu anaweza kuleta kitu kwa usiriazi sisi tukalichukulia kama utani fulani hivi cheki hili la sensa sasa hivi mitandaoni kuna vituko sijui karani wa sensa kabakwa sijui karani wa Sensa cha mroho yaani utani utani tu
Kila linalo tokea kwetu ni jambo

NB : sio wote ambao wako ivo kuna baadhi ya wapenda m
Utani na wengine wapo siriazi na maisha yao hawataki kucheza
FB_IMG_1661650486276.jpg
FB_IMG_1661650445658.jpg
 
Unajua tabia za Wafaransa na watanzania zina mfanano fulani hivi
Wafaransa ni watu fulani some time unaweza kusema hawanaga series na maisha yaani ni watu ambao wana sapoti saana ujinga na niwatu ambao wanapenda mitani saana kwa watu ambao wanaelewa Kifaransa watakubaliana na mimi
Wafaransa wana penda mitani saana yaani kwao nao kila jambo ni jambo kukija hili atakama ni jambo la kuchukulia series watalifanya liwe kama kituko fulani hivi
Kama ili jambo la Urusi na Ukraine macro alikuwa anatowa hotuba yake
Kuwambia Wafaransa kuwa wapo vitani na Urusi toka usiku uo watu walijaa mitandaoni kumtania raisi wao
Mpaka Nikasema Mmmm hii ndo democracy sasa yaani watu hawaoni uoga wa kumtania raisi tena azarani

Na ndivyo tulivyo watanzania sisi ni watu ambao Tuna penda mitani mtu anaweza kuleta kitu kwa usiries sisi tukalichukulia kama mitani fulani hivi cheki hili la sensa sasa hivi mitandaoni kuna vituko sijui karani wa sensa kabakwa sijui karani wa Sensa cha mroho yaani mitani mitani tu
Kila linalo tokea kwetu ni jambo

NB : sio wote ambao wako ivo kuna baadhi ya wapenda mitani na wengine wapo series na maisha yao hawataki kucheza View attachment 2336942View attachment 2336943
Mitani = Utani
Series = Serious
Zina mfanano = Zina fanana
Na makosa lukuki!!!
"Tujifunze lugha, tujifunze kuandika"
 
Unajua tabia za Wafaransa na watanzania zina mfanano fulani hivi
Wafaransa ni watu fulani some time unaweza kusema hawanaga siriazi na maisha yaani ni watu ambao wana sapoti saana ujinga na niwatu ambao wanapenda utani saana kwa watu ambao wanaelewa Kifaransa watakubaliana na mimi
Wafaransa wana penda utani saana yaani kwao nao kila jambo ni jambo kukija hili atakama ni jambo la kuchukulia siriazi watalifanya liwe kama kituko fulani hivi
Kama ili jambo la Urusi na Ukraine macro alikuwa anatowa hotuba yake
Kuwambia Wafaransa kuwa wapo vitani na Urusi toka usiku uo watu walijaa mitandaoni kumtania raisi wao
Mpaka Nikasema Mmmm hii ndo democracy sasa yaani watu hawaoni uoga wa kumtania raisi tena azarani

Na ndivyo tulivyo watanzania sisi ni watu ambao Tuna penda utani mtu anaweza kuleta kitu kwa usiriazi sisi tukalichukulia kama utani fulani hivi cheki hili la sensa sasa hivi mitandaoni kuna vituko sijui karani wa sensa kabakwa sijui karani wa Sensa cha mroho yaani utani utani tu
Kila linalo tokea kwetu ni jambo

NB : sio wote ambao wako ivo kuna baadhi ya wapenda m
Utani na wengine wapo siriazi na maisha yao hawataki kucheza View attachment 2336942View attachment 2336943
azarani= Hadharani
 
Back
Top Bottom